Wakuu,
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Joyce Mbaga maarufu kwa jina la Nicole Joyberry kwa tuhuma za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu na kufanya biashara ya...
Sexy Mama kutoka kwenye kiwanda cha bongo movie , Irene uwoya, amerudi rasmi kwenye page yake ya Instagram , baada ya kuwa kimya kwa takriban Mwaka mzima huku akidai account yake kudukuliwa na...
Wakuu kuna muda nilishawahi kujinasibisha kama Nabii. Sasa leo nawaletea huyu msanii wa mwaka huu anaitwa Midas the Jagaban
Natabiri kwa mwakani atakuwa kwenye conversation moja na kina Rema na...
Duh! Ila kweli Diamond ni simba, habari za chini ya carpet inasadikika kuwa Diamond alimla Poshy Queen. Aise! Kama hizi habari ni kweli basi Diamond kanishinda tabia.
Huyu Diamond, yaani wadada...
Wasalaam,
Meneja wa Diamond Platinumz ambaye amefiwa siku tatu zilizopita ,kuanzia leo ameanza mchakato na kuendelea na mchakato wa kugombea ubunge wa Morogoro vijijini tiketi ya CCM.
Pamoja na...
Msanii maarufu wa rap music Curtis Jackson ama 50 Cent mzee wa just little bit, 21 questions, amusement park amesema watu wachague Donald Trump.
50 Cent ameendelea kudai kua watu wanaosema Trump...
Hizi tuzo mwanzo zilikuwa na ushawishi sana kipindi hicho.
Kiasi kwamba ukichukua tuzo ya AFRIMMA ni heshima kubwa lakini kwa sasa baada ya wanaija kuona watu wamezipuuzia wakaanza kuvuta...
Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis...
Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.
Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya...
Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya...
Wakuu nadhani kwa wenye kumbukumbu za huyu dogo anaitwa Mayunga aliwahi kushinda shindano la Africa nadhani ilikuwa Project fulan hivi siikumbuki vizuri, ila alivyoshinda alibahatika kufanya Ngoma...
Matarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka...
Ndugu wawili vijana waliojipatia umaarufu mtandaoni Tiktok kwa kuishi maisha ya kibilionea na wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana wakamatwa Dubai na Cocaine.
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii
Eti Diamond ajengewe...
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio...
vijana shtukeni kilimo kinalipa balaa, ebu ona dada yetu anavyopiga mamilioni kwnye kilimo huko Iringa. Nini maoni yako mkuu
Hapa akiandaa shamba kwa ajili ya kupanda
hapa akibadlishana mawazo na...
Kanye West na Bianca Censori Wakaribia Talaka Siku Chache Baada ya Grammys
Kanye West na Bianca Censori wanakaribia kuachana, zikiwa ni siku kumi na moja tu tangu Censori aonekane karibu uchi...
Hivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.