Kwa upande wangu skendo iliyonishangaza na kunichekesha ilitokea mwaka 2016.
Wema sepetu na İdris Sultan walipofeki ujauzito ili kuwanyamazisha timu zari na timu diamond 😂 unaambiwa walinunua...
Mwigizaji nguli Gene Hackman na mkewe Betsy Arakawa wamepatikana wakiwa wamefariki dunia nyumbani kwao huko Santa Fe, New Mexico.
Polisi wamesema kuwa hakuna dalili za uhalifu, lakini sababu...
Kuna watu wanajiulizaga zile nguo za ajabu ajabu za wasanii katika majukwaa na safari za kimataifa wanazitoaga wapi au wanaiga wapi? Ukweli ni kwamba fani ya mitindo kidunia ni kati ya fani...
Sema ee bwana Yesu mikononi mwako naiweka roho yangu. Lazima tupeane toba kwanza. Hii trace awards nimeisikia wasafi leo imenihuzunisha sana sana.
Alikiba kuwekwa hotel ya kawaida, Alikiba...
Tangu kumeibuka wimbi la wachekeshaji kibiashara nchini sijawahi kusikia comedian Mzanzibar aliye maarufu. Huko Zanzibar wao hawafanyi comedy au wapo ila hawajawa maarufu tu?!
Jioni ya leo February 26 kutakuwa na kilele cha msimu wa pili wa tuzo za muziki zinazojulikana kama Trace Awards huko visiwani Zanzibar.
Tukio hilo litakalofanyika viunga vya hadhi ya juu...
Wakuu,
Kama mnavyojua usiku wa leo ndio zinafanyika hizo tuzo za Trace huko Zanzibar.
Wakati napitia pitia nominations nimekutana na majina ya wasanii 2 ambao hawakustahili kabisa kuwepo kwenye...
Msanii Nguli na Mfanyabiashara mkubwa duniani wa vyakula. Shishi beibi amekamilisha usajili mpya kuelekea mwisho wa mwaka.
NB: Vijana! Uvumilivu ndio silaha kuelekea kufaidi matunda. Usikate...
Wakuu,
Hawa ndio washindi wa tuzo za Trace Awards zilizofanyika jana huko Zanzibar.
Kutoka Tanzania ni wasanii wawili tu ndio wamepata tuzo.
Diamond Platnumz ameondoka na kipengele cha Best...
Mimi huwa niko na kawaida ya kutengeneza playlist tofauti tofauti na kuzisikiliza wakati naendelea na kazi zangu (huwa napata utulivu wa kubaki kwenye jambo moja kwa wakati huo, kwasababu kichwa...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, mwigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la...
Anaitwa Kylian Mbappé Lottin, alizaliwa tarehe 20 Desemba 1998 huko Paris, Ufaransa. Yeye ni mchezaji wa soka wa Kifaransa anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligue 1, Paris Saint-Germain...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amejivunia kumiliki gari la kifahari aina ya Bentley Continental GT W12 ya mwaka 2019. Gari hilo lilionekana kwenye msafara wa Diamond alipokuwa...
Wasaniii wa Bongofleva Madee, AY na Chege (Samia Kings) wameshiriki kwenye shangwe za mapokezi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Mkata Mkoani Tanga ambako anaanza ziara ya kikazi leo.
Soma...
Voletta Wallace, mamake marehemu nyota wa hip-hop Notorious B.I.G., amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 72. TMZ inaripoti Wallace alikufa kwa sababu za asili Ijumaa asubuhi huko Stroudsburg...
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.