Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum
Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana
Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa...
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo...
Hayawi hayawi sasa yatakuwa kwa yule mrembo wa Tanzania Wema Sepetu.
Yale ambayo yatafurahisha wapenzi wa mlimbwende huyu yanakwenda kuwa.
Ni yapi hayo! Ni Yale ya kuvaa shela jeupe tena na ndoa...
I am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa...
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya amefunguka kuwa anatarajia rasmi kuvuta jiko.
Kinyaiya aliiambia Full Shangwe kuwa, Mungu akijalia hivi karibuni atauaga ukapera rasmi kwa kufunga ndoa na...
Kuna methali ya kimombo inasema "A happy man marries the girl he loves; a happier man loves the girl he married" sasa ndugu yetu kaingia cha kike tayari. Tumetulia pembeni tukisubiri yamkute ya...
Wasalaam wana jamvi.
Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200am ezidi kuongeza vigezo vya mwanaume...
JOHN PARTRIDGE
The Globe and Mail (Breaking News)
As the price of gold soared last year, Barrick Gold Corp. chief executive officer Gregory Wilkins was paid a total of more than...
Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya
1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na...
Katika miaka ya 1980, Pablo Escobar alikuwa mmoja wa wahalifu matajiri zaidi duniani, akiongoza Cartel de Medellín, mojawapo ya mitandao mikubwa ya dawa za kulevya katika historia.
Utajiri wa...
Mchezaji wa soka maarufu, Aziz Ki, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mapenzi yake na mpenzi wake, Hamisa Mobetto. Akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram, Aziz Ki ameandika ujumbe wa kipekee...
HUSENI MACHOZI
Hussein Rashid a.k.a Hussein Machozi . Alizaliwa mwaka 1986 katika wilaya ya Manyoni mkoani Singida.
HUSENI MACHOZI ni moja Kati ya wasanii ama list ya wasanii ambao walipita...
Mungu ni mwema kila wakati.
Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.
Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada...
Wachezaji wa klabu ya Yanga wakiwa wameambatana na Afisa Habari wao Ali Kamwe kwenye harusi ya Mchezaji Aziz Ki na Hamisa Mobetto.
Soma, Pia: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.