Mama wa Mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki "Sanata Ki" amemvaa rais wa Yanga Eng Hersi Said kwa kusimama kama mwakilishi wa familia kwenye maandalizi ya harusi ya mtoto wake bila yeye...
Nabii huyu Ni Nani ?pesa anazipataje yey ni kweli ni tapeli Kama wanavyosema watu kuwa tapeli au Ni kijan mchapa Kaz Basi tusema wivu tu kwa kuwa pia anaonekana na pisi Kali na kula Bata hapa jiji...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika kristo
Mimi kama msukuma napingana mambo kaza wa kaza juu ya Ngoma ya oten ya nicheki, cha kwanza Ngoma ni kali sana huo ndo ukweli, sema mtani wangu huyu...
Huyu jamaa Leo kaenda clouds fm kipindi cha LEO TENA na wake zake wawili, wa pili na wa tatu. Wa kwanza hakuwepo.
Wameongea mengi kuwa wake zake wanapendana.
Ila kaulizwa swali na Geah Kuhusu...
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’...
Mzee Yusufu Kaimu mchekeshaji mkongwe maarufu kama Pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zimethibitishwa na Msanii wa Filamu, Vincent Kigosi “Ray” na taratibu za mazishi...
Mwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Taarifa za...
Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato...
Baadhi wanaweza wakawa wameanza kukufahamu ulipokuwa muhariri wa Bongo5, ila umeanza safari yako pale Victoria fm Musoma kabla ya kuhamia RFA Mwanza na baadae ukashift TONE Radio.
Kipindi uko...
Inadaiwa kuwa Le Mutuz alimdanganya Davis Mosha kuwa yeye ni mtaalamu sana wa mambo ya media. Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu.
Matokeo yake...
Nash Mc ni miongoni mwa wasanii top 3 ya Hiphop bongo ninao wakubali nakufuatilia kazi zao zote wanazozifanya.
Nash Mc, hataki kubadilika kuwa msanii wa kisasa, mfano nyimbo zake anauza whasap...
Huyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili...
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefichua siri kuwa wakati Diamond akiwa na Zari walikuwa wanakutana na kwa siri na akafanikiwa kutundikwa mimba tatu na Diamond ambapo mbili zilitoka na moja...
Naona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu...
Hivi wakuu afya ya akili ya diva mnaiona ipo sawa kweli?
Ana utoto mwingi sana ,juzi kati watu wamemzodoa aliyekuwa mume wake kapata chombo kipya na ni mrembo haswa, eti Diva naye kaona wivu aka...
Uzi mfupi tu kuhusu soko la sanaa Tanzania. Wasanii wetu wa muziki ni muda wa kutoka usingizini sasa na kufanya kazi zinazoenda Duniani kama Wanaija.
Nimeandika huu uzi baada ya kuona kazi mpya...
Wakuu,
Wakati napiga round mbili tatu huko mtandaoni nimekutana na clip ya video vixen aliyefanya video ya Nitafanyaje ya Diamond.
Akiwa kwenye interview, huyu Vixen anasema kuwa sasa hivi...
Ni Mmoja wa wanahabari waliowai kunivutia sana kipindi anaripoti ITV, alikuwa na mbwembwe sana hasa kipindi cha uchaguzi.
Ningependa kujua alipo kwa sasa maana amepotea kabisa kwenye medani za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.