Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili.
Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi...
Katika level of consciousness viwango vya ufahamu vipo katika degree .
Mfano Jay z Ana degree 33, huyu hauwezi kumuingiza Katika trap kirahisi, maana yeye ndo mmiliki wa hizo trap.
Katika degree...
Janet Jackson married a Qatar billionaire in 2012. There were two clauses in the prenuptial agreement:
1) she would get 100 million dollars if the marriage lasted at least 5 years.
2) she would...
Vanessa alitumia akili ya kuzaliwa kujiondoa kwenye uswahili. Akajiweka sehemu inayoeleweka. Fikiria mpaka leo angekua bado anatembelea IST na kubebeshwa unga ingekuaje?
Asheri Mwaipopo ni mtangazaji wa TBC na amefunga Ndoa takatifu na Godliver David Yanga kwenye Kanisa la Baptist Kolosai huko Wilayani Tunduma Mkoani Songwe
Namtakia la kheri n a shuhuli yake
BIla kusahau kukujuza dada dini yetu hio saaaayoyote mnaagana
Usijisahau sana kwa kijana nàe ana moyo
Else nawatakia heri wote
Kwa kizazi cha nyuma kidogo na kizazi cha hip hop nadhan washasikia sana habari za wanamuziki hawa wawili Tupac Na Biggie au B.I.G kuanzia Urafiki wao na baadaye Uhasama uliopelekea Vifo vyao...
Mtoto maarufu na asiyekaukiwa na matukio mjini, wa mastaa wawili wa Bongo industry, kajala masanja na P Funk Majani, aitwae Paula ameamua kuonesha wazi mapenzi yake kwa msanii pendwa na mwenye hit...
Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC. Mobetto ameachia picha na video akiwa pamoja na MVP wa Ligi ya NBC msimu wa 2023/24...
Mwanamuziki kutoka lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinum ,Rayvann hatimaye afanikiwa kuibuka kidedea kwenye tuzo ya BET kipengele cha Best New international act
Hongera sana kijana...
MAKALA hii imeandaliwa na
Kaka MWAFRIKA
Alizaliwa kwa majina ya Amri Athuman mnamo 1948
Mkoani Tanga, TANZANIA.
Alisoma shule ya Msambweni iliyoko,mkoani TANGA
Alianza kuigiza akiwa na umri...
Muigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025.
Hili linakuja wiki...
Wakuu,
Kwa ujumbe tutegemee kuwa na harusi ya taifa hivi karibuni.
Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao
Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka.
Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa...
Mtandao umemfananishwa Elon Musk na Nick Cannon baada ya kufichuka kuwa amepata mtoto na mwanaharakati wa mrengo wa kulia mwenye umri wa miaka 27, na kufanya idadi ya watoto wake kufikia 13 kutoka...
Ushauri tu kwa mwanamuziki Marioo awe anaacha kuvaa miwani meusi kwenye video zake kwa sehemu kubwa. Diamond tulimjua haraka huku vijijini mwanzoni aliimba kavukavu. Zuchu pia hata watoto wa miaka...
Watu wanauliza Hamisa kapiga pigaje hapo?
Anafanikiwa kwenye Kila jambo analofanya.
Biashara zake zinaingiza mamilioni.
Ana invest kwenye projects za mamilioni.
Hadi Rais anamfahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.