Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania.
1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen...
Awali ya yote nitangulize angalizo kwa vijana ambao maturity stage imewakuta miaka hii ya mitandao ya kijamii. Itabidi msome kimyakimya huku mkiwa mmeshika peni na karatasi kuchukua notes.
Huu...
Mwimbaji wa R&B Roberta Flack, anayejulikana zaidi kwa nyimbo "The First Time Ever I Saw Your Face" na "Killing Me Softly With His Song," ameafariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.
"Tuna huzuni...
Wakuu,
Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?
Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.
Ametoa ngoma 4 ambazo...
Wakuu
Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025)
Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine
Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe...
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake...
Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa Rhumba hasa kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, bila shaka utakuwa umewahi kumsikia sana ‘pedeshee’ Eric Mandala.
Lakini je, unamjua huyo Mandala...
Mwimbaji wa Bongofleva na mwanachama wa JamiiForums, Haitham Kim amefariki dunia hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Meneja wake amethibitisha.
Hivi karibuni Wasanii na Wadau...
Bi Khadija ndio msanii wangu pendwa wa muda wote, toka enzi za TOT tunavimba nae. Mwananyamala bi Khadija hana shida na mtu yeye ni mpole si chakaramu kama umuonavyo jukwaani alikuwa vizuri na...
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi...
Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje?
Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu...
Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong...
Wakuu
Chawa wa Rais Samia, maarufu Mwijaku ameungana na baadhi ya Wananchi wa Muheza kupiga deki barabara akidai ni ishara ya upendo kwa Rais
Soma, Pia: DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya...
Unaacha wanawake kariba ya Zari unaenda kudeti na kuku wa kienyeji asiyemudu hata kulipa kodi ya chumba sebule Tabata.
Mwanamke mjinga asiyejua kalenda zake,mwanamke unatoka nae bongo mpaka South...
1. Alpha Blondy alizaliwa Seydou Koné mnamo Januari 1, 1953 huko Dimbokro, Ivory Coast.
2. Anajulikana kama mmoja wa waanzilishi wa muziki wa reggae wa Kiafrika na amekuwa akifanya kazi katika...
8.2.2025 pale kwa Tata Madiba, Zero Brainer alishinda TUZO ya mtengeneza maudhui bora ya michezo wa mwaka kutoka TIKTOK.
Tuzo hii ililipa TAIFA la Tanzania heshima kubwa sana, alikuwa anashindana...
Wakuu
Fundi wa ball ashavuta jiko
Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto.
Soma, Pia
Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30...
Wakuu,
Kuna huyu Tiktoker anaitwa Zero Brainer ambaye ni Mtanzania anayeongoza kuwa na followers zaidi Tanzania Tiktok.
Video zake huko Tiktok zina Millions of likes of followers lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.