Mchekeshaji na mtengeneza maudhui wa mitandaoni Mtanzania Zero Brainer ameshinda tuzo ya "Sports Creator of the Year TikTok Awards 2024" katika tuzo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Februari 9...
Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu.
Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani.
Najua sasa hivi...
Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi🤣🤣 , haya twende Sasa
Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo...
Dogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM
Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM
Au mnasemaje ndugu zangu? 😂
Umofia Kwenu wana JF,kwanza nawapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2014
Kuna jamaa mtajwa hapo juu alitikisa sana miaka ya 2007-2008 kwa utajiri wa hajabu,lakini nikaja kusikia kama alikamatwa...
Milard Ayo amekuja vizuri sana kwenye tasnia ya habari amekua kioo kwa baadhi ya vijana wanaotaka kuanzisha chombo kama cha kwake.
Huyu dogo amekuwa kero sana hasa kwa mambo yasio na faida kwa...
Baada ya kuachana na Diamond Platnumz, Peniel Mwingila aka Vj Penny ameendelea mbele na maisha yake, lakini amekanusha kuwa na mpenzi mpya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidhani hasa wanapomuona...
They both own Fashion Lables.....Mange akiwa na BONGOLICIOUS brand na Kisa akitusua na KIKI's FASHION brand...
Swali kwa Fashionistaz.......Nani Mkali Wa Designs....??
And who is more...
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote.
Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa...
Producer maarufu duniani Irv Gotti amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54. Chanzo cha kifo chake bado hakijatajwa huku ripoti za awali zikisema mwaka jana alipata tatizo la kupooza kwa muda...
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na...
Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje?
Ndipo napata jibu kuwa
"Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema...
Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia Konde Boy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema...
Binafsi naona kijana nyimbo zake ndio ni nzuri ila tu kwa sasa zimekua na uzuri wa levo za kawaida tu, sio kama za yule harmonize tuliemjua wa kwangaru, firewaist, matatizo, n.k
Kwa sasa kwanza...
Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari.
Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.