Hello.
Nini kimetokea kwa msanii wa nyimbo za Gospel Good luck Gozbert amekuwa na ukimya mkubwa sana uliopitiliza na haieleweki umesababishwa na nini.
Hakuna hits song Tena Wala kuvuma na nyimbo...
Mwamba huyu apa Bambo ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania na hajawai kupoteza ubora kwenye kazi yake huyu mwamba achia msemo wake mmoja hapo ♥️🌺🍀
Wana JF,
Mjue Mr. Daudi Kanyau mfanyabiashara ambaye alimtajirisha Shigongo na magazeti yake ya udaku.
Awali ya yote, Kanyau alikuwa rafiki sana na mtoto wa Mwinyi (Abass). Basi kwenye biashara...
Mtume kanisani kwa nabii mkuu GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari aliyochoma Goodluck Gozbert, kinachomtesa msanii huyo wa nyimbo za injili
Pia, Soma: Masanja Mkandamizaji aililia...
Kisu kikali ni tafsida tu nikimanisha kisu kikali ni chochote alichonacho mwanaume kitakachomchanganya mwanamke either pesa, mahaba, six packs, dushe kubwa, kibamia, good sex, rough sex, etc etc...
Habari wanajamvi, kwa wale wahenga na wafuatiliaji wa habari za showbiz za miaka hiyo leo tukumbushie kidogo story zilizokua 'hot' kipindi hicho, magazeti ya udaku kama Kiu, Uwazi, Ijumaa na...
Hivi Huyo kijana wa Mwanza amechoma mercedes benz
Kwann asingepeka kwa watumishi wakiliombea au akawapa msaada watumishi wa Mungu wa Huko vijijini angepata dhawabu
Kitendo hicho kitakuwa na...
Zlatan Ibrahimovic ameonekana mitaa ya Jiji la Milan akiwa kwenye gari lake aina ya Ferrari SF90 Stradale, ambalo thamani yake inatajwa kuwa ni £400,000.
Kiwango hicho cha fedha kwa thamani ya...
Habari.
Nje na mahubiri na kujihusisha na injili je mchungaji Tonny kapola ana kitu gani kingine cha ziada maishani mwake.
Lifestyle,muonekano wake na maisha yake mfano Gari lake Lile...
Huu wimbo ulikuwa una vibe kali sana enzi hizo lakini tuliishia kupenda tu namna wanavyo flow, mashairi yalitupa mtihani kuyaelewa.
Verse 1:
(Luteni Karama)
Hili daruga
Kichugachuga
Ung'eng'e...
Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa...
Kimbal Musk ni mfanyabiashara, mwekezaji, na mfadhili maarufu wa Afrika Kusini-Marekani. Alizaliwa tarehe 20 Septemba 1972, huko Pretoria, Afrika Kusini. Ni mdogo wa Elon Musk, mwanzilishi wa...
1. Gara B achana na events za kujazana ujinga. Nyoosha kiingereza chako ingia dimba za kimataifa (level za Energy Summit).
2. Jifunze kwa moderators wa sessions za huu Mkutano. Kama kichwa si...
Copy and Pest from lemutuz
PART 1
Safari yangu ya USA ulikua ni uamuzi wangu mgumu wa kuacha Ubaharia nikiwa Melini "MV. Luxemburg"ICMB Belgian Shipping Line tukiwa South China Sea tunatokea...
Vuguvugu la kujaribu kuisafisha Tanzania kutokana na kushamiri kwa madawa ya kulevya limefikia hatua nzuri na yakipee. Mh Mwakyembe amejitoa haswa kupambana na hawa watu wauza unga, moja kati ya...
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu.
Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.