"Tunalipwa milioni 20 show moja, tunalipwa dola elfu 25,000 show moja, hii ni zaidi ya madawa ya kulevya," amesema Tale.
"We get more money from music, sio kwenye madawa ya kulevya...
Kumekuwepo na tetesi nyingi kuhusu utajiri wa Diamond umefikia kiasi gani. Hilo ni swali ambalo hajawahi kulijibu kwa uhakika zaidi ya kutoa tu hints na kuwaacha wanaouliza kubaki na majibu yao...
Makala ya Raia Mwema lina habari ya kufikirisha kidogo:
Mwandishi anauliza " Diamond ana fedha, lakini anauza nini?"
Hata mimi nimejikuta nikiuliza swali hili mara nyingi tu bila majibu. Wengine...
Huo ndo ukweli wakuu au mnasemaje?
Ukiondoa mambo ya itikadi ya vyama huyu mwanamume alikuwa anaimba aisee acha kabisa.
Skiza kitu hiki hapa
Sasa kumekucha
👇👇...
Katika mahojiano yake ya kwanza aliyofanya kupitia Gozbet Ministries ameeleza sababu ya kuchoma gari lake moto.
Soma, Pia: Mtume kanisani kwa GeorDavie afichua ukweli ishu ya nyota na gari...
Mfanyabiashara maarufu wa magari nchini, Ndugu Dotto Magari anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia na kufafanua masuala ya kitaifa na Kimataifa.
Wote mnakaribishwa.
Siku za hivi karibuni nimeona wasanii wa kidunia wakijitokeza kwa manabii sio kwamba wanaokoka na kumrudia Mungu hapana tumeona shughuli zimeendelea kama kawaida kufanya anasa
Diamond na clear...
Ugonile..
Mwaka Jana nilienda Zanzibar kwa ajili ya vacation na mchepuko wangu, wiki niliyofika ndo kulikua na maandalizi ya Tamasha la Mama Kizimkazi ambapo sehemu niliyofikia pia ilikua kwenye...
Hello!
Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi.
Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real...
Walikuwaga power couple bongo movie enzi hizo.
Nakumbuka mamaa alivyokuwaga anapambana kumtibu mumeo sajuki kwa muda mrefu haki kifo chake.
Wastara pia alipataga ajali ambayo ilipelekea yeye...
Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.
Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.
Kwangu mimi...
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu ,nimevumilia weeeeeee lakini yamenifika haaaaaaaaaaapa acha niseme ukweli tu kama mbwai iwe mbwai tu.
Kiukweli hakuna couple isiyovutia hapa bongo kama couple ya...
Ila wambea tulimwambiaga huyu , alivyotuchambaga sasa , mpaka tattoo akajichora mwenyewe , akaona Kafika, wambea tukawa tunahesabu siku tu kama kawaida yetu na kweli yametia , bwana mkubwa naona...
Huyu jamaa bwana kiukweli kibongobongo ni so underrated. Anavitu adimu sana kwenye flows zake, sasa hili jiwe kamshirikisha mkongwe G- Nako kwenye chorus na verse 2 kasimama Dizasta vina 'the...
Dar es Salaam. Msanii wa filamu na mfanyabiashara Tausi Mdegela anasema kutokana na kimo chake kifupi, kuna baadhi ya watu katika jamii na mitandao wanaona hastahili kufanya baadhi ya vitu.
Hayo...
Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.