Sasa ni hivi, mnakumbuka kipindi Bashite amewaita wauza unga, kwenye watu maarufu alimuita Director. Sasa ni hivi Director hakusingiziwa na Bashite kama wengi tulivyodhani kipindi kile. Director...
Dada yetu ambaye ni role model wa mabinti wengi sana Africa ameanza kutoa boko!
Usiku wa juzi, Lupita ameonekana kushikana shikana kimahaba na msagaji maarufu wa Marekani, Jannele Monae huko...
Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU
Katika kitu ambacho nilikuwa sijui ni kuwa kama mwanetu Young D mzee wa bongo bahati mbaya kuwa alihamia Marekani
Leo ndo nimejua
MWENYEZI...
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian...
Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham...
Wakuu
Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023
Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao
Nandy amemwandikia haya mumewe...
Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa...
Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - kipi sijasikia
Dully Sykes - Bongo fleva
Ray C - Unanimaliza
Feruz - Ndege mtini
Mwana Fa - Mfalme
Ngwea (Rip) - Nipeni...
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
Waandaaji wa Tuzo kubwa Duniani Tuzo za Grammy wametangaza orodha ya wasanii watakaowania kwenye tuzo hizo zilizopangwa kutolewa February 2025.
Staa kutoka Tanzania diamondplatnumz bahati...
Nampenda sana Bahame.
Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South.
Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu...
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU
Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ
Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri
Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana...
Kuna video zinasambaa huko Yotube na ticktok ikionesha muimbaji wa Injili akichoma gari la alilopewa na mtumishi/mchungaji kama zawadi
Kuna moja nimeangalia anasema amechukua uamizi huo baada ya...
Karibu sana Mdogo wangu Diamond katika Umri wa utu uzima, Sasa wewe jijuwe sio Kijana Tena, Kwa maana Umri wa ujana mwisho ni miaka 35. Kama ilivyo Kwa mwanamama Jokate ambaye naye si kijana Tena...
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.