CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.
Huyu mwamba ukimsikiliza vzuri kwanza ana uelewa mpana wa anachokifanya kuanzia lugha nahisi zinafika lugha nne za kimataifa na pia kiingereza ndo yuko vizuri mana...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii wa muziki na mmiliki wa biashara, ikiwemo WASAFIBET, ameamua kuwatukana vijana wa kitanzania kwa makusudi kwa kuchapisha tangazo lenye nia ovu ya...
Habari wakuu.
Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo.
Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa?
1) Flora...
Amani iwe kwenu wakuu
Kuna member wa JamiiForum aitwaye screpa alileta uzi kumhusu msanii dully skys naona leo BBC wamepita nao kiaina
Soma pia: Kwanini Dully Sykes anasema yeye ndiye...
The Unforgetable THROW BACK 🔥🔥🔥
Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat Sirnature...
Ameandika kwenye ukurasa wake wa X.
"Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!
Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo...
Wakuu,
Kwenye hii challenge walitakiwa kusema Rais Samia kazailiwa lini. Pale ambako hata yule wanayemuita mjumbe maalum wa Ikulu kachemka, ila wanasema mama kafanya, kile, na hiki.
Ni kwasababu...
Nadhani wote tunamjua jamaa
Mziki wake ulikuwa miaka ya 2000 lakin ukiisikiliza Leo anaweza wafunika hata Hawa mcees wa sasa. Najiuliza kwann jamaa aliamua kuacha kuimba? Mbna alikuwa na...
DIZASTA VINA ~ STRING THEORY 🎶
👉🏽Wataalam wa Physics nadhani wanaijua vizuri sana hii, na kwakuwa ni taaluma za watu, naomba nirekebishwe kiustaarab pale nitakapopuyanga 😅👊🏾
Tunaambiwa hii...
Mitandao ya kijamii imetoa fursa kubwa sana kwa mtu yeyote ‘kwenda mjini’ chap. Hii ni orodha ya baadhi ya watu ambao kusingekuwa na intaneti, wasingepata umaarufu walioupata.
DKT. LOUIS SHIKA...
Wakuu
Kama mnavyoona picha hapo chini, Ingawa ni haki yao kushiriki, ni muhimu kujiuliza: Je, wasanii hawa wanapochangia katika majukwaa ya kisiasa wanachangia kwa lengo la kuleta mabadiliko ya...
Nimekuwa nikimsikia mara kwa mara akijigamba hivyo kwenye media, na sielewi anamaanisha nini maana maandiko mbalimbali ya historia ya bongofleva hayatambui hilo. Kama anamaanisha 'kuimba' mbona...
Mr Nice - Kidali Po, Hii Track ilishika kote kuanzia party za watoto, disco, clubs, MAhafali, n.k. huu moto sidhani kama utakuja kufikiwa.
ana ana ana dooo
kachani ka basto
displine matido...
Mimi ni shabiki wa Zuchu kwa kiasi fulani...
Kuna huu wimbo wake mpya unaitwa "antenna" nimeusikia sikia huko mitaani nikasema ngoja nitafute video niangalie.
Aisee, kwenye ile video ameweka...
Jinsi 2Pac Alivyobuni "Ambitionz Az a Ridah" 😯
"Ambitionz Az a Ridah" ni wimbo wa ufunguzi katika albamu ya nne ya studio ya 2Pac, "All Eyez on Me," iliyotolewa mwaka 1996.
Jina la wimbo huu ni...
Kuna seminar moja nimeattend hapa mjini nikamkuta huyu kijana kaalikwa akaongea kwa kiasi chake tena kwa confidence ikabidi nimsearch gooogle ndo nikakutana na haya..
alivooongea tu nkaona kitu...
NXT Honors kutoka nchini Nigeria imemtangaza rasmi nguli wa muziki na Mfalme wa Bongo Flava Alikiba, kama mshindi wa Tuzo ya Heshima ya Maisha ya 2024, na kumfanya kuwa mtu wa kwanza asiye...
Wakuu habarini..
Katika tasnia (nazungumzia music), kuna wasanii wana vipaji vikubwa sana ingawa namna wanavyochukuliwa na jamii inaweza kuwa kawaida tofauti na uwezo walio nao labda kutokana na...
MC Pilipili alizua maswali mengi wakati wa sherehe yake ya ndoa na Mena Kanisani Juni 29, 2019 alipokataa sehemu ya kiapo cha ndoa kilichohusisha maneno "kwa shida na raha" madhabahuni.
Kukataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.