Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

DIVA wa filamu za Kibongo Shamsa Ford amefunguka kwamba, wanaosema eti amepoteza mvuto baada ya kujifungua wanakosea sana kwani ndiyo kwanza amezidi kuwa na mwonekano mzuri. Akipiga stori na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
9 Hii ni movie mpya ambayo imeingia sokoni siku mbili zilizopita, imetengenezwa na kampuni ya Marehemu Steven Kanumba, humo ndani wameigiza Seth mdogo wake Kanumba, Rose Ndauka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu mdau wa UK Dr.Shayo amekuwa akiitumia blog ya Issa Michuzi na kujifanya kama ni mtaalam wa uchumi toka London Southbank university wakati ukweli ni kuwa Dr.Shayo ni bingwa wa...
0 Reactions
218 Replies
29K Views
Jay Z has been distancing himself from Kanye since his relationship with girlfriend Kim K became serious. And now he has found himself a new BFF. According to the The NY Post, after teaming up at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yule mchambuzi mahiri wa habari za michezo hapa Tz anayepiga mzigo katika redio na tv ya watu Clouds Fm na Clouds TV Shaffih Dauda kwa mara nyingine tena amepigwa panga katika kinyang'ang'anyiro...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Chris Brown and Rihanna sit together at Sunday's Grammy Awards! Chris Brown and Rihanna didn't walk the red carpet together at the Grammy Awards Sunday. They didn’t perform together on stage...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KUMEKUWEPO na vijineno vya chinichini kuwa eti ndoa ya msanii maarufu wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel aliyofunga hivi karibuni na Sunday Demonte haipo na wabaya wake wamekuwa wakieneza taarifa hizo...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
kuna habari zimesambaa mjini leo kwamba baada ya kushawishiwa sana na watu hatimaye yule mwanadafada mrembo na star wa move za kibongo Wema Sepetu amechukua form ya kuomba kushiriki shindano la...
0 Reactions
92 Replies
14K Views
Reality TV star, Kim Kardashian, will make her debut in Nigeria next weekend. She has been confirmed as special co-host, for ‘Love…Like A Movie’, the eagerly anticipated valentine concert by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ktk closing ceremony afcon,kaja na wadada wanapafom sijawahi ona! na sijui kaja nao au kawakuta south! source,Super sport select live.
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Mwamitindo maarufu nchin Flaviana Matata amepata dili la kupiga kazi na kampuni mpya ya mavazi DIESEL & EDUN....BIG UP MDADA.. LOTTA BLESSINGSnguo hizi zitaanza kupatikana kuanzia mwezi wa 3.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo kuna mwakilish wa bongo muv alikuwa anaomba mchango clouds fm wa sh.1ml ili wakamchukue mwenzao(ma2main) aliyepo msumbij,ss kwan wao wanashindwa kutoa hyo pesa mpk wa Tz 2changie?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Ustadhi Yahya Michael, mkazi wa Dar, hivi karibuni amejitokeza na kudai kuwa yeye ndiye mganga aliyempaisha mwanamuziki Nasibu Abdu ‘Diamond Platnumz’ ambaye kwa sasa ni kinara wa Bongo Fleva...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Kwa macho yangu nimemshuhudia Irene Uwoya Novotel Mount Meru weekend hii akiwa na predeshee mashuhuri wa Dar wakiwa wamekuja kula maisha,hawa wasanii hawa!
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Picha za msanii wa Bongo flava Ney Wa Mitego mwenye maneno ya shombo kwa wasanii wenzake kuhusu ukahaba wa wasanii wa bongo movie zimenaswa mtandaoni akiwa amepozi kimahaba na msanii wa bongo...
0 Reactions
23 Replies
43K Views
Kama Umeshashuhudia Video Ya Wimbo Wa Sorry Ya Barnaba Utakubaliana Na Mimi Kuwa Ni Video Bora Kwa Sasa Hapa Tz Hata Kama Unachuki Na Barnaba Kwa Hili Utakubali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upcoming rapper AP.9 is back, and this time he's claiming he had unprotected sex with Ice T's wife, Coco Austin. AP.9 and Coco were involved in a scandal in December 2012 after suggestive photos...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
The actress posted this on her twitter page and deleted it a few minutes later after she was bashed by Jay Z fans and people who found it offensive. She took it down but didn't apologize or offer...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The multiple-award winning singer was unveiled today as the new global creative director of Blackberry in New York. "She believes in the product and technology," BlackBerry CEO Thorsten Heins said...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lyrics za Ney wa mitego,si yote . Verse1 ukisema hunijui ananijua dada yako ukisema hunipendi ananipenda dem wako mi ni maji usiponinywa...... mi ni punzi usipovuta utakufa usijisahau eti...
0 Reactions
4 Replies
18K Views
Back
Top Bottom