Hatimaye moja ya wabunge wetu wa Singida na ambaye amekuwa akilalamikiwa sana kwa kuendekeza ubachela na usela, ameoa. Kama ilivyotarajiwa, amemuoa Miss Tanzania Faraja Kota. Kwa muda mrefu sasa...
Msanii Juma Mchopanga aka Jaymo amefanya wimbo na msanii kutoka marekani ajulikanaye kwa jina la MIMS,jina la wimbo huo ni Never be me.
Big up Jaymo wimbo mzuri sana na umetutendea haki kwa...
Yaani huyu mwanaume mimi hata simuelewi kabisa. Sijui kaishiwa nguvu, manake lile tangazo lake la Star Times limemfanya aonekane kama punga fulani hivi. Hivi mashosti huyu ni mwanaume kweli?
Kwa wale tunaosikliza habari na burudani za Yesu kupitia Radio hii watakua wanamfahamu............nimebahatika kumsikiliza mara nyingi vipindi vya usiku...kw akweli kijana ana upako wa hali ya...
Jaribu kucheck vizuri kama kuna mtu utamkumbuka hapa enzi hizo pale vijana kinondoni j2 mchana mpaka..
Zainabu- Jerry Nashon na Vijana Jazz - YouTube#!
"Mwaka 2011 ulikuwa wa misukosuko hasa baada ya kutimiza miaka 18, I am grown up and have my own life, I wish to do more in movies and have loads of fans and here is my new look...."
naombeni msaada wa kumjua kwa undani huyu mtu,kuna mtu alikuwa ananidokeza kuwa karibu nusu ya serikali ya kikwete walikuwa kama si wafanya kazi wa rosta basi ni marafiki katika biashara...
hivi ni kwel kwamba AY anammanage cpwaa na shaa...???? Yan ndo anawataftia michongo ya nje??? Iz it tru??? Kama ndo hvo?? Mbona AY mwenyewe mchovu tu!!!!!!??
[Verse]
Yea... Yea... Ay yo
The things I've seen in life will make you choke by suprise
Like an aborted fetus in a jar that opened it's eyes
Provoking my demise, I'll leave your spirit broken...
She is our Taarab star hilo sina ubishi nalo na ninamuheshimu sana. Tatizo la Bi Kidude ni umri wake kila siku kubadilika mara miaka 104, mara 70 mara 99.........
Ila ananiachaga hoi kwa vituko...
The Brodus
The legendary Snoop Dogg Broadus na mkewe Shante Taylor na watoto wao Cori, Cordell and Corde.
The Simmons
Familia ya Russels Simmons
The Smiths-
The Jacksons-Ice cube family...
huyu miss tanzania wa mwaka 2004 asiyekuwa na kashfa ameolewa na naibu waziri wa viwanda, biashara na masoko bwana lazaro nyalandu.. ni wachumba au ndugu?? Nimeona kny gazet la leo la mwananchi...
Yampita majuma kadhaa huyu mzee wetu Mjasiriamali Reginald Mengi simuoni wala sijamsikia kwenye vyombo vya habari kama kawaida yake. Nimeshangaa sijamuona hata kwenye msiba wa mtangazaji maarufu...
Habari.
Nmesikia Mtangazaji aliekua akiripoti habari za BBC wa hapa kwetu Bongo amefariki leo asubhi.
Source: Radio Tumain, mtangazaji wakati wa kipindi cha magazeti...nae ametumiwa msg...
Anselm Soggy The-Entertainer
‎-Jamani nakumbuka mwaka 98 au 99 nilimuandikia wimbo Florence Kassela maarufu kama DATAZ na nikashirikiana nae pia kuuimba huo wimbo na tuliurekodi kwa Enrico...
Ujumbe uliomo kwenye mashairi /nyimbo zao hauhitaji wavae mavazi ya uchi kuutambulisha muziki wao. Kama unafahamu zaidi kuwa huru kuchangia lakini baadhi ya nyimbo zao ni
Maembe: Sumu ya Teja...