Dah, nimemmis sana jama hasa kwenye sakata la Kafulila, jamaa kapotea sana lakini sina shaka kwamba HAYUKO INDIA, mwenye taarifa au mawasiliano naye tafadhali mumwambie japo atutakie heri ya mwaka...
John Ngahyoma
Broadcaster Ngahyoma dies in Dar es Salaam
Seasoned journalist John Ngahyoma (50) has died in Dar es Salaam after a long battle against liver cancer, his brother also a journalist...
Mwanamuziki Andy Swebe a.k.a Ambassodar aliyepata kuvuma sana na kundi la MK GROUP enzi zile akipiga gitaa la base, leo asubuhi amefariki dunia baada ya kubanwa na pumu. Msiba upo Kijitonyama...
Marijani Rajabu a.k.a. Doza akiwa bado kinda!
Muone Marijan Rajabu katika onyesho 'live'
Wengi humfahamu Marijani Rajabu kama mtunzi na muimbaji, lakini alikuwa pia mpiga gitaa mahiri...
Mama wa Egypt strikes again
so basically kwenye nchi ya watu milioni 45 hawa ndio aliowaona yeye
TANZANIA'S 15 MOST ELIGIBLE BACHELORS
you know the drill...copy pics and details zileteni huku...
Ni mke wa Mchungaji lakini pia ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili.
Mwenzenu kila nikisikia sauti yake nakosa nguvu, mapigo ya moyo yanapiga kwa kasi.
Nikimwona kwenye videos zake ndio kabisa...
According to mke wa mjenzi aka mama wa misri
TANZANIA'S TOP 10 FASHIONISTAS FOR THE YR 2011....
sidhali kama waliopo kwenye listi hii watalalamika lakini mnaweza kuiwahi kuicopy kabla wenyewe...
Sijui hawajui au anaewangalizia kajisahau.....site yao naona imepigwa pini kiaina....
Account Suspended
Mwenye ukaribu nao awashtue ili wapenzi wao waendelee kuwafatilia kwa ukaribu
Sikia hii; jamani nimeamua kuirusha hii maana nayo ni habari, eti Kocha wa timu kubwa kama Yanga hajalipiwa umeme na maji hadi akakatiwa....na kwamba timu haijafanya mazoezi kwa siku saba kutokana...
Sugu a.k.a Joseph Mbilinyi pamoja na kundi la vinega wametoa msaa wa gunia 42 za mahindi kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea siku chache mkoani mbeya!
Msaada huo wa gunia 42 una thamani ya mil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.