Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Ni ukweli usiofichika kuwa Kibonde anapokosekana kwenye Jahazi mambo yote huwa yanakwenda shagalabagala. Hawa watoto kina Kayanda huwa wanacheza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Michael Jackson's doctor Conrad Murray jailed for four years By Mirror.co.uk 29/11/2011 Decrease font size Increase font size...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Sikiliza Mahojiano baina ya Michuzi na radio butiama. Michuzi anaeleza aliingiaje kwenye Uandishi wa habari na lini. Pia anasema kabla ya kuwa mpiga picha alikuwa nani. Historia ya blog yake na...
0 Reactions
118 Replies
33K Views
Mimi ni mkazi we maeneo ya uswahilini, yaani huku kwetu ni kelele tupu usiku kuanzia ijumaa mpaka juma pili !! ni kelele za miziki maarufu kama rusha roho!!! Kinachoshangaza huwa wanapiga hiyo...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwanza Clouds! Hakuna ubishi kwamba mnasikika kwa wengi na hasa katika vijana. Mmejipatia umaarufu kutokana na ubunifu wenu wa kutoa burudani na kutangaza. Bado kwa kiasi kikubwa mnaheshimika...
4 Reactions
71 Replies
7K Views
HABARI YA MOTO MOTO NI KWAMBA KUNA KAMPUNI MOJA YA SIMU KUPITIA WAFANYAKAZI WAKE WASIO WAAMINIFU WANAJARIBU KU HACK SIMU YA SUGU HAYO YAMETOLEWA NA SUGU MWENYEWE KUPITIA MTANDAO WAKE WA...
0 Reactions
232 Replies
18K Views
kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kushuhudia uzinduzi wa anti virus leo itaruka hewan katika kipindi cha planet bongo cha eatv, ukweli utajulikana na tutajadiri maswala mengi ya msing tu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
tunaomba wale mliopo karibu na eneo la tukio au ndugu hakimu via mobile utu-update hukumu imekuaje...........tupo interested kujua clasmet wetu ambaye bado hata honeymoon hajaila vizuri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HAYA NDIO AFANDE ALISEMA NA LEO ANARUDI KUFANYA K<a href="http://www.youtube.com/watch?v=fK3FUgewzb0" target="_blank">AZI NA HAWAJAMAA - YouTube
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Prodyuza wa muziki,ambaye pia ndio C.E.O wa studio za B-Hitz,Hermy B achukizwa na Joh Makini,atoa tamko lake kwenye ukurasa wake wa SuraKitabu(Facebook).. "Joh Makini You Have Officially Pissed...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Mama Salma Kikwete shared a link.Nyaraka: Mkutano wa CHADEMA na Rais Kikwete - Ikulu ya Dar es Salaam www.jamiiforums.com wakuu nimepita wenye page ya facebook ya mama Salma naona ameshare link...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman naomba kuuliza ni nani asiyemtambua Dr. Slaa. Mzee huyu namkubali kwa msimamo wake na kwa kutotafuna maneno, Kuanzia kwenye kampeni mpaka hivi leo bado msimamo wake uko pale pale. Kama...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Have you visited me ? Kids Fun Spots, Shopping areas, Movies, Bar and Lounge, Supermarket etc etc.. Click on the Like button to join the fan page and share with friends and family ;-) Here is...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau na mashabiki wote wa muziki bongo muziki unalipa tukutane viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii bamaga k'nyama tar 26/11/2011 kuanzia saa 12 kiingilio sh 5000 wasanii kibao sugu mkoloni...
2 Reactions
94 Replies
11K Views
Ndugu zangu, naandika mada hii kwa huzuni na haibu kibao kutokana na kile nilichokiona Dar Es Salaam mwezi uliopita wakati nikiwa likizo. Huzuni na haibu niliyopata Dar ni juu ya madada zetu na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ilikuwa ni furaha na vifijo na nderemo ndani ya viwanja vya ustawi wa jamii, umati mkuvwa ulijitokeza kuwapa sapoti wasanii wanaodai maslahi kupitia sanaa yao ya music. Vinega walipiga show kali...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Clouds wataingia aibu ya mwaka na kushusha hadhi ya straight music tonight.. Vinega wako juu sana na tuko pamoja nao aisee
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Clouds wamewatapeli mashabiki kwa kuwalipisha sh 10000 kwa ajili ya kushuhudia shoo ya DMX na fabulous na kuwahadaa wasanii wa kitanzania kuwa watapanda jukwaa moja na manguli wa muziki kutoka...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom