Ndugu zetu wa ze komedy naona wamekuwa wanafanya matangazo au kampeni dhidi ya wanaowatuma, nashindwa kuelewa hii PIGA CHINI inayoonyeshwa mara ya 3 umuhimu wake kwa jamii ni nini? kwanza...
Fiesta Mbeya tuliwapa supplementary sasa naona wanataka kuja kujaribu kuichomoa bt hawajausoma mchoro bora wasingeingia kwenye exam room coz hawachomoki hata waingie na madesa so 26th wanadisco...
Kama mdau wa muziki kwa muda sasa nafuatilia bifu la Ruge V/s Sugu na wasanii wenye uchungu na kazi zao.
Huyu Ruge sio mzaha jamaa anawanyonya sana wasanii ana anachukua ujinga na elimu yao finyu...
Jana nilikaa na msanii ambae alikua anampa siri kwamba eti mh! Lukuvi amepanga kumtosa mh. Sugu kwenye tamasha la kesho kutwa ili amkomoe! Anasema amepata habari toka kwa chanzo cha kuaminika kua...
Uganda's Richest Musicians
Artistes who include top star Bebe Cool have been struggling financially. Red Banton was offered Red a stick of roasted meat and it turned out to be his first...
A world of caution to DmX & FABOLOUS...
Look dog,here's real deal we are local artist called 'antivirus' in a movement against local promoters bringing you to Tanzania.
The antivirus movement...
vinega ni gumzo kila kampac za vyuo hapa mujini, lakini jiandaeni na wimbo wa kuuponda muzwada wa katiba mpya vinginevyo hatutawaelewa. Hicho tu kitatupagawizha ile mbaya. Ud leo watu wanapeaana...
King of rhymes,king of all the times,the legendary himself,Darubini hitmaker baba Tunda Afande sele baada ya kumkacha Sugu atakuwepo jumamosi mtu mzima ndani ya str8 music atajumuika yeye na...
Haya sasa muda wa kumkomboa msanii ni pale ustawi jukwaa limeanza kufungwa big sound big stage for local artist sio hadi aje fatjoe huu mziki hakuna anayeumiliki tunataka msanii alipwe vizuri...
Itakuwa ni siku ya jumamosi ya wiki hii ambayo imesheheni mapambano mengi kama yafuatayo...
1.Sugu vs Ruge
2.Vinega vs T.H.T
3.Sayansi vs Leaders
4.Deiwaka ent vs Sweet music
5.Dj Jd vs Dj...
Huu ni ushauri tu ruge(Manager clouds) ni mnafiki sana alikua apigi kabisa nyimbo za LWP,Manzese Crew,Afande Sele lakini sasa ameanza kuzipiga na kutangaza kwamba watakuwepo kwenye tamasha...
Picha: Rosemary Mwakitangwe akiwa kwenye moja ya midahalo inayosimamiwa na VOX MEDIA...
Wakuu nimetokea kumkubali huyu mwanamama kwa hasa anapokuwa kwenye ile midahalo ya "THE TANZANIA WE WANT"...
Tafadhali wakuu naomba kufahamishwa mahali walipo na nini wanachofanya siku hizi wasanii wafuatao:
1. Crazy GK
2. O'Nell(kama sijakosea) aliimba wimbo 'Posta, posta city center'
3. Kali P
4...