INASEMEKANA KUWA CLOUDS IME HACK ACCOUNT YA ADILI MKWERA NA KUANZA KUANDIKA MESSAGE KUWA KAJITOA
KAMA HIVI
Adili Mkwela
KUANZIA LEO NAJITOA KATIKA HUU USENGE WA ANTI-VIRUS KWASABABU SISI...
kama unaujua mziki,tena si unafiki, huwez kusheherekea miaka 50,bila kumtaja nguli wa music hip hop tz mheshimiwa joseph mbilinyi,kwani alifanya kazi ya ziada na hata kuu utangaza muzik ndan ya...
Wadau nimemuona Muumin kwenye uzinduzi wa Twanga Pepeta uliofanyika pale Leaders, nae ni mmoja wa waimbaji wa Twanga, je huyu jamaa si alikuwa na bendi yake? nini kimempata na mbona anaonekana...
Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata...
Jana tu hapo co-host wa kipindi kinachobamba Tanzania nzima power breakfast amepata degree yake ya mass comm kutoka Tumaini University.,.Memberz wote wa JF tunakupongeza kwa hilo..tunataka tuone...
Our one and only miss TZ who managed to reach top five in Miss world, Nancy Sumari is expecting... Congrats Nancy.
Pichani Nancy akiwa na "mshirika kibiashara" Ally Rehmtula.
Joe Frazier, one of the biggest sports icons of the 1960s and 70s, passed away tonight from liver cancer at the age of 67. He was diagnosed less than six weeks ago and spent his final days in a...
Kwa mujibu wa mpekuzi wetu ambaye kazi yake ni kufuatilia mambo ya watu, Diamond alifikia hatua ya kumtandika hadi akamharibu uso kisa kikielezwa ni wivu wa kimapenzi.
Chanzo kiliendelea...
Nawasalimu wote hasa wale wenye moyo wa huruma na upendo kwa wenzetu wahitaji. Nimekwenda Muhimbili Jana kwenye Wodi ya Mwaisela namba 1. Lengo langu lilikuwa kumjulia hali Msanii wa Komedi VENGU...
Nimeinyaka kutoka kwenye chanzo kiaminifu kwamba JIDE kule Ufaransa amepandikizwa mimba kwani hana uwezo wa kushika kwa njia ya kawaida, kitaalamu wanaita Artificial insemination, yaani mbegu za...
yani hii station natamani hata sugu angekuwa mbunge wa kinondoni maana angewabomoa, wanaboa na vipindi vyao yaani kila kitu wanajua kiko kinondoni tu!
Wakaanga chipsi wanataja kinondoni
bonge...
Miss Tanzania 2011, Salha Israel, amefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya taji la Urembo wenye malengo maalum (Beauty with Purpose) yaliyofanyika nchini Uingereza.mia

wakuu naombeni kuelewa kitu kimoja,huyu Adam Malima nimemwona bungeni akijibu maswali
lakini alinishtua kwa kitendo chake cha kuvaa mipete mikubwa mikono yote miwili,
wakuu wa saikology mnaonaje...
Wanajamvi ni siku nyingi sasa simuoni wala kumsikia mzee wa mwibara ktk anga za habari na michezo kwa ujumla. Ninapenda kujua huyu bwana yuko wapi.....?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.