Napenda kujua nani alimkabidhi Bendera Miss Tanzania 2011 ili kwenda nayo London kwenye Miss World? ama mwaka huu haiwakilishi Tanzania bali anaiwakilisha Lino Agency???
Wiki iliyopita Tulikuwa tumempoteza Eng Mosha, Nilipokuwa msibani niliona watu wengi wanaopenda umaarufu wakija msibani usiku baada ya mida ya kazi. Former miss T run up N. Mohd alifika na bahati...
Mzee Kipara hii ndio hali aliyofikia hivi sasa.
Mzee kipara ni msanii wa muda mrefu ambaye alikuwa katika sanaa ya maigizo kwa muda mrefu, kipindi cha hivi karibuni vyombo mbali mbali vya habari...
Miss Tz 2011 Salha, ameasili (Adopt) mtoto mchanga aliyeokotwa na anatunzwa na katika hospitali ya Muhimbili. amempa jina lake la Salha. Ni jambo jema anastahili kupongezwa
Asalaam walekhum wanajamvi!dah leo nimeamua kutoa dukuduku langu humu ili mnisaidie,sasa nimetokea kumpenda mbunge wa viti maalum cdm ester matiko,uyu binti jinsi anavoongea,alivo sura yake na...
Bhoke Ametuponza: Serikali Yapiga Marufuku Watanzania Kushiriki Big Brother !!!!
Serikali yaipinga Big Brother
(Vicky Kimaro na Furaha Maugo)
Friday, 12 August 2011 21:11
SERIKALI imepinga...
Shit, after listening to this like 50 times. I don't who killed it ?....... They all did their thing.
Makes you miss the old hip hop sio huu upuuzi wanaotuletea siku hizi
Balozi wa Marekani nchini, Bw. Mark Green amesema kuwa serikali ya nchi yake haijaombwa na Serikali ya Tanzania kumrudisha nchini aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Daudi Balali...
Sitta aibu, JK fedheha
Absalom Kibanda
WIKI iliyopita ilikuwa ni wiki ya Tanzania Daima. Kwa hakika ilikuwa ni wiki njema kwa wahariri na wafanyakazi wote tunaofanya kazi katika gazeti...
Hawa ni miongoni mwa vinara radio clouds kweli kuna radio hapo?? Hebu mnaosikiliza hii radio mniconvice mie pia maana nina mashaka na ujuzi wao kwenye fani ya habari na utangazaji...
From...
katika miezi takribani saba wasanii wa Nollywood wenye majina makubwa wapatao zaidi ya kumi wameaga dunia...........................na wengi wanajiuliza ni kwa sababu zipi?
Yupo paster mmoja...
NILIPOSOMA makala katika gazeti RAI toleo la 689 yenye kichwa cha habari: PRINCESS DIANA ALIFARIKI DUNIA KWA AJALI YA MUNGU YUPI? Nilisukumwa na hitimisho la mwandishi lililosema: Kwa vyovyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.