imekuwa ikisemwa kwa chini chini kuwa wasanii wa kike wa tht wamekuwa wakiingia katika mkumbo wa kuliwa kama sio kumegwa na baadhi ya WATANGAZAJI NA VIONGOZI wa redio ya watusasa nimeamua kuleta...
They're affluent,classy,stylish and exposed. They run Dar and outside...
They got the money,the means and the power. Meet Tanzania's power couples
Lance and Mange
Maliq and Kiki
Joyce...
Amenishangaza sana huyu mbunge, ambaye kimsingi wana-Mbeya walitaraji kwamba atakua mkombozi wao....sasa mambo ya ugomvi wa mademu, Clouds FM, Fiesta anapeleka kwa wananchi!!!? Matatizo ya msingi...
YouTube - ‪Sugu akiisifia Fiesta‬‏
ukiifuatilia hiyo link apo juu utamuona huyu m'bunge wa mbeya mjini akiisifia fiesta itakayofanyika jimboni kwake kesho kama sikosei
hivi ni...
Nawasalimu WOTE kwa jina la JF,
Mwanzoni kiss Fm redio ilikuwa inashika vizuri tu,mara ikaanza leo inapatikana, kesho haishiki mwishowe kwa sasa haishiki kabisa Dodoma kwa zaidi ya miezi kama 5...
Jamani hivi hii ni kweli au wanatuchezea akili? Sugu huyu huyu aliyeikataa Fiesta now anaisifia! angalia hiyo video kwa makini mi nahisi wameichakachua
SUGU VIDEO
Nadhani ndio movie inayopigiwa promo sana hapa bongo kwa muda huu. Kwanza nimpongeze Kanumba, kaicheza vizuri.
Halafu kuna sura mpya mpya nyingi nadhani ananyayua vipaji. Wasanii akina swebe...
Jamani mimi nimetokea sana kumpenda dada huyu mwimbaji wa music wa injili, kwa jina ni Martha Mwaipaja. Sijui nifanyaje nijitwishe mzigo huo du naumia sana kwa kweli kila nikimuangalia simmalizi...
Zitto Kabwe: Am in Juba-South Sudan, Karibia hotel zote ni 'makeshift' hapa Juba. Baadhi ni containers. Mji umepambwa na picha za Garang. Ulinzi ni wa Hali yajuu sana. V8s, Hummers na Nissan...
Nimekuwa nikisiliza Radio Clouds fm. Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na Tangazo ambapo inasikika sauti ya Mh. Zitto Kabwe akihamasisha wananchi washiriki kwa wingi katika Fiesta.
Wiki...
Last Thursday, the Internet was set ablaze by the passion that once burned inside Michael Jordan's teenage heart. Somehow, the site Letters of Note got a hold of a 1980 love letter from His...
Ten years of making Harry Potter films, by cast and crew
The actors, producers, directors and crew of the Harry Potter series tell Ryan Gilbey the inside story of the defining film...
JF, tangu jana nimeanza kutafakari upya juu ya report za Jerry Muro na kukumbuka umahiri wake katika kutoa habari bila woga, huyu jamaa ni shujaa kama kina Ndimara Tigambwage and Said Kubenea na...
Mwanamuziki 20 pasent amepata ajali ya gari mkoani kigoma baada ya tairi la gari hiyo aina ya noah kupasuka na gari kupinduka,msanii huyo na wenzie waliokuwa wakitokea kigomwa kwenda mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.