-Vijana wabunifu sana, wasanii wa kweli! Walianzia EATV-walifanya vizuri, wakawa maarufu wakaitwa Bungeni mpaka Ikulu wakajisahau wakadhani ni maarufu kuliko EATV yenyewe, wakatemwa!
-Wakaja TBC...
Mnakumbuka hii thread in 2006?
https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/694-freedom-of-speech-in-tanzania.html
Mnaweza kusema kuwa whats the significance na siasa za Tanzania? Ukweli ni...
Wakuu,Wenye taarifa watujuze hapa hivi wale waigizaji maarufu tuliowazoea wa FUTUHI akina Babu Kulikombe wapo wapi? Wengi wao siwaoni. Kuondoka kwa hao jamaa kumepunguza kwa sana mvuto wa FUTUHI.
Mambo vipi jaman wanajamvini hivi kwanini macelebret wengi wa bongo especially wakina dada wanapenda kufungua blogs halafu vitu wanavyoweka unakuta ni mambo ya ujinga ujinga tu. Hv hao wanao...
Nikiangalia video za wimbo wa Mwana FA 'unanijua/unanisikia' na wimbo wa Mabeste 'baadaye sana' zote toka B'Hits naona zote 'zimeshutiwa' location moja na ubaya video zote zaidi ya 80% ya matukio...
Hello jf!naomba kufahamishwa alipo basil pesambili mramba na anafanya nin kwa sasa,huyu jamaa aliwah kutamka hadhari eti ni bora watanzania wale majani lakini ndege ya raisi ni lazma...
Mkali wa maigizo ya kuchekesha Bongo, Dickson Samson Makwaya a.k.a Bambo alfajiri ya leo amepata ajali mbaya ya pikipiki na kuvunjika mguu wake wa kulia sehemu ya paja.
Dada ambaye anamtia jela nyota wa Chelsea aitwa Christine Bleakley.....................sioni vitufe vya kubandika picha vinginevyo ningezibandika sasa...
Next round's on Lady Gaga. The pop superstar is officially the most loaded person under the age of 30, according to a Forbes magazine poll. The 25-years old has raked in £55million over the last...
Mimi napenda sana anapomtaja TUNDU LISSU, utasikia LINDU LISU kaa chini.
au siku ile CDMA walivyosusia hotuba ya ya JK, yule mama nusu alitoa macho km chura.
Muigizaji wa Filamu hapa Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack wa Chuzi' ametoa kali ya mwaka baada ya kuamua kuanika idadi ya wanaume aliowahi kula nao urojo tangu awe supastaa.Msanii huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.