....MARIAH CAREY NA HUSBAND WAKE NICK CANNON....!
Mnamo tarehe 30/4/2011, hapa Los Angeles, Mariah amejifungua watoto mapacha kama wanavyoonekana hapo juu. A baby boy and Baby girl.
Hongera zake
David Beckham involved in car crash but escapes uninjured
Crash took place on busy Los Angeles freeway
Driver of other car taken to hospital but not seriously injured...
Namsikiliza huyu dogo kupitia Star TV, Bongo Beats na Sauda Mwilima: Kama ilivyo kwa wasaniii wetu chipukizi, naona kijana anajigamba kwa mbwembwe kuwa anakaa gheto NHC Ilala Boma, siunajua tenaa...
Haya Jamani,
Zimebakia siku chache kabla ya Mshindi wa tuzo ya uongozi bora Afrika atangazwe. Mshindi huyo si tu atapata ujiko wa kuitwa kiongozi bora Afrika, ila pia atashinda tuzo ya...
Rais wa nchi ya Zanzibar mambo mazuri Uturuki, asije akaomba na silaha, kwa heshma kubwa kwa Uturuki, tunaijuwa nguvu yake kijeshi na kiuchumi, hata Israel inabembeleza ipate urafiki na Uturuki...
Wandugu naomba kuwasilisha, tabia za baadhi ya ma MC zimekuwa ni mbaya sana hata kusababisha watu na sherehe zao kujikuta kwenye taharuki kubwa.
Ukweli ni huu:
MC Chitanda ambaye ni mfanyakazi...
Binti wa Rostam Aziz
Ama kweli ukila na kipofu usimshike mkono, fisadi namba moja nchini kwa kweli anafaida sana hela zetu walala hoi maana binti yake anasoma shule moja binafsi na ghali sana...
Kwa wapenzi wa Figure skating bila shaka mtakuwa mnampata kijana Robin Szolkowy - Wikipedia, the free encyclopedia, baba yake inasemekana ni mtanzania ila hawajawahi kuonana. Wazee wa JF kama...
A new photo of Gerard Piqué in suspicious situation with a man creates controversy in Spain. Barcelona player, who is linked with the singer Shakira, had been photographed with Zlatan...
Hakika dunia bila ugaid ni sawa na bunge bila upinzani, hii ni kutokana na sera za wamagaribi wanaojiona wao ndio miungu watu ktk hii dunia, hata kama kauliwa kiongozi wetu Osama bin ladeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.