Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nicolas Cage Charged Over 'Domestic Abuse' Nicolas Cage in a photo released by The New Orleans Parish Sheriff's office Oscar-winning actor Nicolas Cage has been charged by police in New...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani naomba mnipe mazuri na mabaya ya lady jay dee
0 Reactions
30 Replies
5K Views
huyu mdada nampenda sana ila sina details zake tangu kuzaliwa, CV yake na kama ameolewa na ana watoto wangapi,
0 Reactions
40 Replies
6K Views
...Wiki iliyopita kulitokea utata juu ya umri wa mshambuliaji hatari wa Azam FC na Taifa Stars Mrisho Khalifan Ngasa...Lakini inasemekana huyu jamaa kaoa muda mrefu,naomba kuuliza alioa lini na...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Eti Mwanamke akipenda kapenda kweli..!!!?//?? Watutafsiria mashairi ya R.kelly wakati wajua wazi kwamba sio kwelii... sasa mie na Wanaume wenzangu wa ukweli .. nasema hiviii.. usitudanganyeeee...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Nikiwa baa ya Matutina maeneo ya Mbezi beach(Tanki Bovu) Kaja jimama lakikenya limekuja na driver wake likamwambia mzee wa Kibajaj nataka gari yangu niliyokununulia kwani wewe umeamua kuwa na rozi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tarehe 16 April tunaadhimisha miaka 122 sikukuu ya kuzaliwa kwa yule gwiji wa zile sinema za vichekesho namuongelea Sir Charles Spencer "Charlie" Chaplin huyu bwana kwa kweli hatasaulika milele...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hivi nyimbo kama shangazi ya Mpoki. Utailinganisha na Adela ya Mrisho Mpoto? Msanii kama Mpoki unaweza kumlinganisha na Mrisho Mpoto. Hivi kwa Mashairi ya Shangazi mfano "Umepewa wizara Nyeti...
0 Reactions
78 Replies
10K Views
Eti Mwanamke akipenda kapenda kweli..!!!?//?? Watutafsiria mashairi ya R.kelly wakati wajua wazi kwamba sio kwelii... sasa mie na Wanaume wenzangu wa ukweli .. nasema hiviii.. usitudanganyeeee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Jamani, napenda kuuliza, ni familia gani yenye watoto wote ma-genius zaidi ya Familia ya Ma-Ropes? Mwam-War (a.k.a Mama Madawati na misaada), ndiye Genius VODACOM imetokea Kupata...Bunge la...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mtangazaji matatani kwa dawa za kulevya na Happiness Katabazi MTANGAZAJI wa Redio Times FM, inayomilikiwa na Kampuni ya Bussiness Times Ltd, Hadija Shaibu, maarufu kwa jina la ‘Dida wa Mchops’...
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Staa kinda katika Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu' amefungua kinywa na kujibu skendo iliyoenea jijini Dar es Salaam kuwa, amehongwa gari na kigogo mmoja ambaye jina halikupatikana...
0 Reactions
53 Replies
25K Views
ni mjamzito??! hongera kama kweli.:redfaces:
0 Reactions
50 Replies
9K Views
nilikuwa nauliza kama mnaweza kunitajia majina ya hawa waheshimiwa...kama kutakuwa na taarifa zao za ziada basi ndio mtakuwa mmefanya vyema zaidi MICHUZI: JK hosts East African Law Society...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wapi Joeali bendera, na wenzake katka jukwaa la siasa katka Tanzania
0 Reactions
16 Replies
2K Views
...Nilikuwa mfatiliaji mzuri wa hawa vijana wa Original Komedi wakiwa EATV.Kwa kweli nilikuwa sikosi kila kipindi hiki kilipokuwa kikirushwa,baada ya kuamia TBC1 vijana hawa wamekosa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa jinsi huyu mbunge alivyochangia hoja bungeni, nashindwa kuamini kura alipataje! Au wanaume nao wana viti maalum????
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom