Hivi ma "celebrity" wetu wana mwelekeo gani kuhusu kujenga future yao kwa maana na kumiliki makazi (nyumba)? Kuna baadhi ya ma celebrity wa zamani ambao wanamiliki nyumba zao lakini kwa mwelekeo...
Celebrity news
Elton John and David Furnish become parents
Elton John and his partner David Furnish have become parents of a son born to a surrogate mother, it...
Kama mungu angetuwezesha mama zetu kuweza kubana tusiktoke wakati wa kuzaliwa basi ningemwambia dada yangu j asimtoe uncle wangu fatty...tar 24 ili na yeye aingie kwenye didybook ya waliozaliwa...
Baada ya kupigwa ban na viongozi wake kundini kutokana na ulevi wa kupindukia na utovu wa nidhani, hatimaye msanii Vengu kamaliza kifungochake na yupo on air tena. Kwa wale WAPENZI wake kaeni mkao...
habari nilizopokea sasa hivi kutoka kwa afisa mwandamizi wa polisi, Pedeshee mmoja Ndama mtoto wa Ng'ombe anashikiliwa na polisi kwa kuhusishwa na mali za wizi
Bibi Elizabeth Gupta anategemea kufunga ndoa Jan 2011 na Kelvin. Send off inategemea kuwa 02-Jan-2011.
Vikao vya send off vinaendelea. Ninawatakia kilala kheri watajariwa hawa wawili, mungu awape...
Kimya kingi kina mshindo...video kwa udhamini wa.....
YouTube - "SHUKRANI"-NAKAAYA
She seems to be very white and nenepa sana au macho yangu??
NB:She is already taken.
Mke wa muasisi wa muziki wa Reggea, Bob Marley amesema iwapo atapata mwanamume mwenye uwezo(hakutaja ni uwezo gani), yupo tayari kuanza uhusiano wa kimapenzi na mtu huyo.
Dah, hii imekaaje?
WanaJF epukeni kutoa kauli tata kama haitapita wiki hii lazima ufe na zinazofanana na hizo katika jamii inayotuzunguka ili yasije kukukuta kama ya bibi mmoja kikongwe mkoani Maswa - Shinyanga...
Send off ilikuwa si mchezo ilifanyika 2/Jan./2011 na Kitchen Paty 31 Dec. 2010
Msela Kevin aliingia kwenye kitchen party kapiga Jeans na sio pasna kama tulivyozoea
Wadau walimtunza mwali na NAira...
I love the game of golf, but it's challenging. Most of of time I have trouble getting the ball to go in the right direction.No matter how carefully I am, the ball often lands somewhere else.
The...
Mi nashangaa hawa viongozi sijui vipi jamani? eti ikitokea ajari tu ndo wanaanza kusema tunakagua leseni za wendesha pikipiki, inamaana muda wote hawajui kuwa wanawajibu huo?
Hey nobody would willingly take on a health problem.We all want to be healthly.But many of us choose to do something that is terribly unhealthy;something that affects our physical and emotional...
The Memphis Grizzlies nicknamed him Hasheem Thabust just to express their sentiments due to poor contribution he brings on the table for his organization. The atmosphere is not compelling at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.