Mimi napata kigugumizi juu ya mwenendo wa wasanii wetu,inakuwaje shindano linaanza watu wanajipanga kila siku wanacheza na jasho linawatoka,tena ukiangalia wengi wao ni maarufu sana TZ.
Inamaana...
ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu. mtoto huyu wa miaka takribani 9 amekuwa selebu si kwa sababu ya baba yake will smith na mama yake jada pinkett; ambao pia ni maselebu.
ni kutokana na...
Leo ni siku ya ukimwi duniani na kama kijana ambaye pia niko katika kundi ambalo liko hatarini kwenye maambukizo ya gonjwa hili hatari, naona ni busara kugusia na kutoa hamasa kupitia jumbe...
Mzee Muhidini Maalim Gurumo ni mgonjwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Wodi ya Mwaisela,wodi No.5.Mzee Gurumo ni mmoja wa wakongwe wa Muziki alianza Muziki mwaka 1960 akiwa na Bendi...
Ndugu wana JF
Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma...
Wakuu,
Hivi ina maana SUGU na Ruge wa biff kubwa kiasi hiki!!!
Nimesikia album ya SUGU inayoitwa "anti-virus" na inayopatikana on-line bure ni balaa!! Maana SUGU anatukana live na kuelelza...
Wakuu jana nimebahatika kumsikiliza ripota maalumu wa redio ya watu mwanamama Regina Mwalekwa akiripoti habari za bungeni kwa kweli kama walimtoa ITV/Rado1 katika "dirisha dogo la usajili" kuja...
hivi hichi chombo kinacho deal na ethic and code za radio kimekufaa au kiko hai,Radio ya cloud fm[clauzzz]hii radio ina nichafua sanaa watangazajii wamekosaa lugha nzuri kabisaa ya kuongea,leo...
hivi joti ni mwanaume kweli? au ndo hivyo tena kama wanavyosema mitaani wengi....jamani kwa wale ambao wako karibu naye, hivi tupeni story, manake kuna uvumi kuwa si riziki. kwa upande wangu...
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi, Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, awali ya yote mimi nikiwa mwakilishi wa Blog ya Mohammed Dewji, Mo blog, ninachukua nafasi hii kukupa pongezi kwa kuaminiwa na...
Uvumi kuhusu skendo za wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa Dodoma, sasa unaweza kupatiwa jibu lililonyooka kutokana na kazi makini ya kuwakagua iliyofanyika kwenye hoteli...
From MARC NKWAME in Arusha, 21st November 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 143
LUCAS Mkenda, the Bongo-Flava artists who used to be known as 'Mr Nice,' has just resurfaced at the Arusha...
Fast And The Furious stars Paul Walker and Jordana Brewster take the pace down a notch in Brazil
By Daily Mail Reporter
Last updated at 10:22 AM on 4th November 2010
Paul Walker and...
Waigizaji wetu wanafikiri ukiwa good looking inatosha kuwa nyota wa filamu.....rewind...ni zaidi ya sura na umbo zuri...talent....na waliosomia tasnia hii..sio unakurupuka tu unataka kuigiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.