Habari zilizosambazwa kwenye "Kitabu uso" Facebook Kuwa wakiwa wanaenda au kutoka katika kisiwa cha Bongoyo boti yao ilipinduka na wao kumwagwa baharini ambapo waliokolewa lakini watano kati yao...
Tiger Woods ameachana rasmi na mkewe Elin Nordegren. Woods ametangaza katika website yake na kusema kwamba ndoa yao na Elin imefikia tamati leo na hukumu imetolewa leo katika mahakama ya kesi za...
Naomba mwenye taarifa, yule mama wa upinzani Chiku Abwao yukowapi jamani?
Mara ya mwisho nilimsikia Iringa huko.
Kama ana mume anisamehe nilikuwa namzimia sana!
Mimi bado najiuliza jamani hili ni pepo ama alipitiwa ama ni tamaa tu ilimpitia suala la
mtoto wa rostam kukamatwa kwa kubaka mtoto wa mugabe.
Kuna wanaosema kijana alikuwa anatafuta kujulikana...
WINDERMERE, Fla. (AP)Tiger Woods ex-wife Elin Nordegren said she has been through hell since her husbands infidelity surfaced but she never hit him, according to an interview released...
Wapendwa mliosoma magazeti ya jana na juzi
nimeshangaa kuona mzee wetu chenge akikanwa na kampuni ya bima alioleta mahakamani
na kuambiwa aijatoka kwake na hiyo alioleta na ya gari aina ya PAJERO...
:argue: ashley cole na mkewe cheryl cole wameingia katika mzozo mkubwa wa kindoa sababu ikielezwa kuwa mwanaspoti huyo ni mzinzi na inasemekana ameshasamehewa na cheryl mara kadhaa...
Mahojiano: Dina Marios na Mama Hasheem Thabeet 08/18/2010
Mahojiano haya yamenukuliwa yalivyo toka katika blogu ya Dina Marios, mtangazaji wa kipindi maarufu cha Leo Tena katika redio ya...
Yaani hawa ndugu zetu na hiki kiingereza, sijui nani aliwaambia English makes their work sound great!
Hapo si bora wangeandika "Tayari ipo madukani' kuliko huo upupu!!!!
Safari bado ndefu for...
Wapendwa
kwa walioangalia comedy iliopita ni mahuzuniko makubwa sikuamini lijemaa kubwa kama mpoki aanaweza kusema matusi kwenye luninga ya jamii kama ile inahuzunisha sana ilikuwaje
walifika...
Kanye West made sure to check out Rihanna when her Last Girl On Earth tour hit Madison Square Garden last night. Check out shots of her simulating sexual acts onstage and her afterparty look...
Wapendwa napenda kuwapa pole waliohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye uhuzuni ya mpendwa wetu mzee godfrey mwanache aliezikwa jana makaburi ya kinondoni
hakika sikuamini ila najua kila kitu...
wakuu,
kuuliza si ujinga.
labda kwa vile mimi sio shabiki sana wa tasnia hii ya bongo fleva na hip hop
au kwa vile huwa nam associate benz na jamaa kassim wa amore; ambaye nilikuwa najua ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.