Kifo cha Kibo Marealle kimenishtua sana hasa ukizingatia kuwa alikuwa ni kijana,
na kabla mauti hayajamfika usiku wake alikuwa kwenye party akionekana ni
mzima kabisa na alijumuika katika...
Fuatilia mahojiano mengine exclusive kutoka kwa mmoja wa Watanzania wanaotuwakilisha vema kimataifa.Huyo si mwingine bali Mzee wa Commercial (Ambwene Yesaya) au AY kama anavyofahamika na...
Waungwana,ni MwanaFA hapa..i dont usually do this kwenye blogs na sites (ku'post maoni) but naona nichangie this time since naona concerns zimekuwa za kistaarabu hapa na zina lengo la kujua tu na...
Miss Tanzania afutiwa mashitaka
Mrembo wa Tanzania, Miriam Gerald
MAHAKAMA ya Wilaya Kinondoni, imemfutia mashitaka Mrembo wa Tanzania, Miriam Gerald, baada ya mlalamikaji kuiambia mahakama...
Hi Everyone in our beautiful TZ,
Hey, it's me....alifazza - ze blakk wadada!!
I am a music artist who's on a tight Africewide music competion on www.starafrica.com
I play a variety of music but...
First there was Hollywood, then came Bollywood, Nollywood and other "woods film industries sucah "..... ....wood in Tanzania (do no the name) "....etc.
The Nigerian film industry is the third...
Jana nilikuwa nasikiliza mahojiano kwenye Cloud FM mida kama ya saa 8 hivi ya yule kijana mcheza Baske ball USA, Hashim Thabeet. Kwa niliishiwa nguvu sana pale mtangazaji namuulia vizuri sana...
The King of Toro, Oyo Nyimba Kabamba Iguru, the "world's youngest king" who turned 18 on 17th April 2010, succeeded to the throne at the age of three years when his father died of a heart attack...
Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo fleva), Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay amekamatwa na jeshi la polisi saa 5:30 usiku juzi Jumapili, na kufikishwa katika kituo cha Polisi cha...
Nimeipatapata hii, kwa maoni yangu inayo heshima ya kuwekwa kwenye jukwaa la cerebrity. Sielewi kila mmoja wetu atajifunza nini.
LONGEST MARRIED COUPLE (85 YEARS) GIVES RELATIONSHIP ADVICE...
Kama nilivyoahidi jana,leo nawaletea mahojiano maalum (exclusive interview) na msanii mahiri wa Bongoflava,Hamis Mwinjuma,almaaruf Mwana F.A.Pamoja na mambo mengine,blogu hii ilionelea umuhimu wa...
Check out interview with Fabulous Linda Express on fashionjunkii.
Among the most succesfully Tanzanian women in the United State
http://fashionjunkii.onsugar.com/
wadau, hivyi ni kweli kuna baadhi ya masuperstars wa kibongo wameweka ndani na mashuga mumiez n shuga dadiez?
Maana kuna kipindi kilirushwa hivyi karibuni na ITV cha mastaa wa kibongo kuelezea...
Stay tunned kwa mahojiano na msanii 5-star wa bongoflava hapo kesho tarehe 12 April 2010.Yote hayo yatakujia katika blogu ya KULIKONI UGHAIBUNI.Link...
Msanii anapofikiria kwa Kiswahili ili kuongea Kiingereza
Jameni..Jameniee, pengine tunahitaji kulazimisha tu kutumia lugha yetu ya kiswahili kama ilivyo kwa baadhi ya mataifa mengine. Wasanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.