Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kifo cha Kibo Marealle kimenishtua sana hasa ukizingatia kuwa alikuwa ni kijana, na kabla mauti hayajamfika usiku wake alikuwa kwenye party akionekana ni mzima kabisa na alijumuika katika...
0 Reactions
49 Replies
17K Views
Fuatilia mahojiano mengine exclusive kutoka kwa mmoja wa Watanzania wanaotuwakilisha vema kimataifa.Huyo si mwingine bali Mzee wa Commercial (Ambwene Yesaya) au AY kama anavyofahamika na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana,ni MwanaFA hapa..i dont usually do this kwenye blogs na sites (ku'post maoni) but naona nichangie this time since naona concerns zimekuwa za kistaarabu hapa na zina lengo la kujua tu na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Miss Tanzania afutiwa mashitaka Mrembo wa Tanzania, Miriam Gerald MAHAKAMA ya Wilaya Kinondoni, imemfutia mashitaka Mrembo wa Tanzania, Miriam Gerald, baada ya mlalamikaji kuiambia mahakama...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hi Everyone in our beautiful TZ, Hey, it's me....alifazza - ze blakk wadada!! I am a music artist who's on a tight Africewide music competion on www.starafrica.com I play a variety of music but...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
First there was Hollywood, then came Bollywood, Nollywood and other "woods film industries sucah "..... ....wood in Tanzania (do no the name) "....etc. The Nigerian film industry is the third...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili. Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Jana nilikuwa nasikiliza mahojiano kwenye Cloud FM mida kama ya saa 8 hivi ya yule kijana mcheza Baske ball USA, Hashim Thabeet. Kwa niliishiwa nguvu sana pale mtangazaji namuulia vizuri sana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
JK Bana aaah! #!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
baada ya misele miiiingi mkuu karudisha majeshi nyumbani,safi sana mzee uamuzi mzuri:cool: inapendeza:cool: source:jide blog.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
The King of Toro, Oyo Nyimba Kabamba Iguru, the "world's youngest king" who turned 18 on 17th April 2010, succeeded to the throne at the age of three years when his father died of a heart attack...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni...
0 Reactions
39 Replies
11K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo fleva), Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay amekamatwa na jeshi la polisi saa 5:30 usiku juzi Jumapili, na kufikishwa katika kituo cha Polisi cha...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Nimeipatapata hii, kwa maoni yangu inayo heshima ya kuwekwa kwenye jukwaa la cerebrity. Sielewi kila mmoja wetu atajifunza nini. LONGEST MARRIED COUPLE (85 YEARS) GIVES RELATIONSHIP ADVICE...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama nilivyoahidi jana,leo nawaletea mahojiano maalum (exclusive interview) na msanii mahiri wa Bongoflava,Hamis Mwinjuma,almaaruf Mwana F.A.Pamoja na mambo mengine,blogu hii ilionelea umuhimu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Check out interview with Fabulous Linda Express on fashionjunkii. Among the most succesfully Tanzanian women in the United State http://fashionjunkii.onsugar.com/
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau, hivyi ni kweli kuna baadhi ya masuperstars wa kibongo wameweka ndani na mashuga mumiez n shuga dadiez? Maana kuna kipindi kilirushwa hivyi karibuni na ITV cha mastaa wa kibongo kuelezea...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Stay tunned kwa mahojiano na msanii 5-star wa bongoflava hapo kesho tarehe 12 April 2010.Yote hayo yatakujia katika blogu ya KULIKONI UGHAIBUNI.Link...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msanii anapofikiria kwa Kiswahili ili kuongea Kiingereza Jameni..Jameniee, pengine tunahitaji kulazimisha tu kutumia lugha yetu ya kiswahili kama ilivyo kwa baadhi ya mataifa mengine. Wasanii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…