Kuna taarifa kuwa maslahi ya Waisrael ndiyo chanzo cha aliyekuwa mhariri mtendaji wa magazeti ya IPP kama The Gurdian, Nipashe, Alasiri na mengineyo mwanadada Sakina Datoo kulazimika kuachia...
Waziri mkuu mstaafu bwana sumaye alikwenda uingereza kwa ajili ya matibabu (medical check up).
Lakini badala ya kuwa hospitalini amekuwa akizurura kwenye miji ya uingereza kuhubiri dini,kama...
Je mnamkumbuka "Kipanga" Bethuel Mbugua aliyetikisa anga za vyuo vikuu vya Afrika ya Mashariki mwaka 1989 na 1990 kwa kutoa mihadhara mikalikali kuhusu Cardiology?? Nilikuwa pale Mlimani alipokuja...
Maisha ya ujana ya Jenerali Ulimwengu, Shivji, Museveni, Sitta na wengineo UDSM
16 May 2009
Na Born Again Pagan
Makala haya kwanza yaliandikwa kwenye Kijiji chetu (mjengwablogspot.com) mwezi...
Huyu bwana ni mwenzetu na kutokana na nafasi yake katika jamii nilitokea kumheshimu sana. Jana alileta story ya RAFIKI YAKE WA KARIBU bwana JACK PEMBA ambaye kutokana na evidence katika hapo chini...
Issa Michuzi kaandika kwenye blog yake kuwa yuko vekesheni, na kweli anatundika picha mbalimbali akiwa anajivinjari sehemu mbalimbali nchini Marekani.
Ninachojiuliza, je ni kweli amejilipia...
Wajameni;
Juzi nilipata email inayoonyesha mazungumzo kati ya Mama Amina Salum Ali na National Public Radio Presenter... Kama ni kweli hayo ndiyo yaliyosemwa, basi Waafrica Tunaaibisha... Hebu...
LITTLE ROCK, Ark. T.I. will be coming to Arkansas by May 26 to serve a prison sentence on federal weapons charges.
The 28-year-old rapper, whose real name is Clifford J. Harris Jr., will be...
Katika kile kinachoonekana kujibu mapigo kwa wao kukaniwa kutorudi Bungeni, Mh selelii, mama Sita, Mh Aziza na Mh Mchemba juzi walifanya kikao kikubwa katika Hotel ya Orion Mjini Tabora ili kuweka...
Lottery ya draft picks imefanyika, Oklohoma City Thunders wamepata pick ya tatu, na most experts wanasema watamchagua Thabeet.
Oklahoma City Thunder Hasheem Thabeet, C, Connecticut:
The...
SANTA BARBARA , CA -During a search for evidence at the Neverland Valley Ranch, investigators discovered a corpse that has been identified as that of Michael Jackson, Santa Barbara police...
Wafanyabiashara wa magari Dar mbaroni kwa kunyatia albino
* Yumo Kizaizai na Ndama 'mtoto wa ng'ombe'
Na Mwandishi Wetu
WAFANYABIASHARA maarufu wa magari jijini Dar es Salaam, akiwemo Ali...
Hatimaye dada yetu Mona Lewis amekuwa-fired kwenye kipindi cha The Apprentice kinachorushwa na BBC ndani ya Uingereza. Billionaire Sir Alan Sugar ndiye mwendeshaji.
Ingawa binti amejitahidi tangu...
Mon May 18 12:14PM by TV Editor
A Britain's Got Talent contestant has been exposed as an ex-priest who has disrupted several major sporting events.
Neil Horan, whose Irish dancing was a hit...
Kipa wa zamani wa klabu ya Yanga, Sahau Kambi amefariki dunia jana jioni baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Kambi ambaye aliidakia Yanga kwenye miaka ya mwishoni ya 80 alikuwa akisumbuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.