WANAMUZIKI WALIOWAHI KUTOA NYIMBO ZILIZOKUWA MBELE YA WAKATI WAO
Nawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM. Namshukuru Mungu tumefika leo salama. Ninafurahi kuufunga mwaka nikiwa nimeandika uzi...
Mlioona clip ya juzi ikimuonyesha Diamond akiwa Rwanda na kukutana na Rais Kagame utaona Approach yake kwa kiongozi huyo ilivyokuwa na kasoro, jinsi Diamond alivyokuwa anamuongelesha Rais huyo...
Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB) ibaki tu Wasafi Classic au Wasafi Classic Family.
Kwa ukubwa alionao Diamond Platnumz kimuziki na kimafanikio...
My spirit is telling something about Kanye West.
God forbid!!!
Please pray for Kanye West.
In the pic the young Kanye West wearing an ANC t shirt with Nelson Mandela on it
Ndo lilikuwa tamasha pekee na la mwisho la mziki nililohudhuria mpaka na leo hii.
Liliandaliwa na Tigo kama sijakosea mwaka 2014 pale viwanja vya leaders kinondoni.
Hili tamasha lilikuwa na...
Star wa music wa injili afrika mashariki na Kati Rose Muhando amefanya mahojiano na Rabbi TV ya nabii Malisa wa mwanza na kusema marehemu Ruge alimtamkia kuwa wakongwe mlinga nitawanyoosha kwa...
"Ilikuwa ni Kiki, sina kitu niko apeche alolo[emoji24], najutia nimejidhalilisha[emoji24][emoji24]"- Bibi wa miaka 60
"Naomba radhi kwa Watanzania wote kwa hiki kitu kilichokuwa kinaendelea...
Sio hali ya kawaida Kwa mtu wa kawaida eliud kipchoge ambae ni mwanariadha ambae amezidiwa followers hata na gigy money, umber lulu na baba Levo kwenye ukrasa wa Instagram ila ajabu ni kuwa...
Kula chuma hiyo.
Kusah Vs Aunty Ezekiel
Rich mitindo Vs Jacklin Wolper
Lugendo Vs Shamsa Ford
Vijana wa kisambaa mmekuja kuwaje Wakati Sisi wazee wenu tulikuwa tunatambulika kwa uchapakazi...
Kwenye kipindi cha xxl cha leo kilichorushwa moja kwa moja kutoka Konde gang Hq ameoneka IBRA. Ila kusema ukweli anyone kana hana furaha, nuru ipotea, na mawazo mengi yaani kwa ujumla yupo yupo...
Kuna taarifa za chini chini richi kaachwa na Jack sababu kila mtu kashindwa kuwa mvumilivu kwa mwezie.
Sasa mwazo Jack alikuwa anahisi kama mumewe ana videmu uko nje akaanza vizia simu ya mumewe...
Nilishasema huyu kijana huwa wanamuonea sana linapokuja suala la maamuzi.
Kule lile pambano ambalo alicheza na Juma Choki na ushindi akapewa Juma Choki aisee ule uamuzi wengi tuliutilia mashaka...
Wade Robson na James Safechuck, wamemshtumu Michael Jackson (MJ) kuwanyanyasa Kingono wakati wakiwa Watoto ambapo Kesi zimefufuliwa dhidi ya kampuni zinazomilikiwa na Nyota huyo, aliyefariki mwaka...
Kwa Tanzania Wangapi mnawakumbuka kikundi cha EAST COAST enzi hizo wanatamba na kina GK,AY Mwana FA , Pauline zongo, Snea etc kwakweli Dunia ya Sasa hivi Kuna uchache sana wa vikundi vya muziki...
Yes, Kwasasa bongohii sijaona, mwenye umbo zuri lililosimama lisilo na mabonde kama Munalove, anaekula pale anafaidi, goma limetulia sana.
Hata Kajala wanampaisha tu lakini Muna ana umbo zuri bana
Kwa wale ambao wamebahatika kuwa na wadogo wa kike. Kwanza ni furaha na inapendeza sana kuona ndugu wakipendana na kusaidiana katika mambo mbalimbali. Embu soma mkasa huu.
Rabia alikuwa akiishi...
Nina ufungua uzi kwa kumtambulisha huyu kamanda kwa namna hii.
Farid Kubanda alizaliwa August 13 katika hospitali ya Bugando iliyopo jijini Mwanza. Sababu mtoto kwa mama hakui alilazimika...
Habari ya uzima wapendwa,
Mimi ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, natafuta mtu wa kusimamia misingi wangu yani management.
Kama unawiwa naomba tuwasiliane.
+255693214177
Kwenye platform...
Sikusudii mjadala wa 'Team' za washabiki.
Kwa kawaida wanamuziki wote wakubwa duniani, huwa wanalo kundi fulani la kijamii ambalo huko hukubalika zaidi. Walalahoi na waduni kielimu-Uswahilini...