Popote Ulaya tatizo ni pesa.
Mzee wetu hana makuu ila anaishi sana. Hili ndilo hekalu lake lililopo hapo Fumba Town.
Ni moja ya makazi rasmi ya mfanyabiashara Said Salim Awadh Bakhressa.
Jumba...
Dj Mars
Dj Venture
Dj Skills
Dj D White
Dj Juice
Dj Nelly
Dj Kessy
Dj Muli Bring Bring
Dj Majizo
Di Sam
Dj Cutter
Dj Jongo
Dj D7
Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
Hii nibtathmini yangu binafsi juu ya bongo flavour honours.Kwanza inaonekana waimbaji wa zamani bila kujalisha yupo au hayupo kwenye game bado wana mashabiki wengi ambao wangependa kuwa wanawaona...
We talk about Consistency(muendelezo). mkubwa Papaa Jones anawasha moto since day one kiukweli tukiweka uzalendo pembeni kwa bongo hii nani tunaweza kumuamini akabattle na Khaligraph?
Mimi ni...
Wakuu,
Nipo Naangalia Clouds TV,Kipindi cha Ng'ari Ng'ari,na Host wa Kipindi Anamuhoji Snura!
Snura Anashukuru Kufunguliwa kwa Chura Wake na Kuna Video Mpya ya Chura,Aliyefungiwa kwa Siku Mingi...
Habari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway...
Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko.
Somo: Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu. Mjue fainali uzeeni.
Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose...
Nyota wa klabu ya Alnassr na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anakodisha/pangisha jumba lake la Kifahari lililopo katika jiji la Madrid nchini Unispania kwa euro 10,000 tu...
habari zenu wadau wa hiphop/rap naona harakati zinaendelea, niende kwenye mada itoshe kusema kaligraph jones anajiamini alafu ameshaona gemu ya ya bongo upande wa rap imedrop sana anadai watu...
Kwa hii karne wanawake wameibuka Kama watawala wapya. Hawa watawala wana nguvu sana, wanalindwa sana. Nguvu zao ni kubwa sana mpaka wanaume wameanza kufanana nao.
Lakini jee? mmeona emperor's...
Hizi Amapiano toka zilipo anza kuvuma South Africa na wasanii wengi wa Afrika kuanza kuzifanya Wasauzi wamebaki kuwa watabe wa huu mziki.
Wasanii wengi wa nje ya South Africa wanaofanya na wanao...
Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate.
Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu...
Forex milionea amekula kona n mamilion ya shilingi ,kaacha mke na watoto sauzi kakimbilia ughaibuni ,na polis washatoa warant ya kumkamata popote.
==========
Sandile Shezi: Everything to know...
Jana mida ya saa 5 usiku katika baa moja maarufu maeneo ya Sinza (jina kapuni) kulitokea patashika baada ya mtangazaji Adam Mchomvu na msanii Ney wa Mitego kukutana.
Chanzo cha ugomvi huo ni...
Wakazi
Rapa namba mbili nchini amesema hamna wakati mbaya ambao hawezi kusahau maishani mwake Kama siku alipofukuzwa nyumbani kwao.
Amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji gwiji Jabir...
Ney Wamitego ameamua kulipa fadhila kwa kupiga shoo za chimbo hadi chimbo akijua yakwamba hata kijijini kunamashabiki zake ambao tunamsapoti
Ni katika Machimbo ya Nyangalata, na Nyandolwa...
Wengine mna tuvigari twenu twa Shilingi Milioni Tatu hadi Saba huku Mikopo ya Kulipia mkiwa bado hamjamaliza mkiwa mitaani Mnaringa na kujiona ni Matajiri na Maisha mmeshayapigia Denge Kimafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.