Umuofia…
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 moja ya wasanii waliotoa hit song ni msanii Balozi Dola Soul.
Wimbo wake uliompatia umaarufu na mpaka leo unatamba ni ule “Balozi bado nipo”
Ni wimbo ambao...
Nipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12.
Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your...
sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga
Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu.
Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa...
Ukiniambia muimbaji gani wa nyimbo za injili ninayemkubali nchini nitakuambia .
Ambwene Mwasongwe.
Boaz dunken.
Dr ipyana.
Abiudi misholi.
Paul mwangosi.
Wanaimba nyimbo katika roho na...
Nyumba ya Bakhresa
Nyumba ya 50 cent
Mtaalam ya real estate kutoka kampuni ya Knight Frank Frolian Rweikiza amewatoa hofu vijana wanaotaka kuwekeza katika sekta ya ujenzi kuacha kupagawa na bei...
Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline.
Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature.
Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila...
Nimeshangaa wagawa marange, wanatumia pesa kutunza, matajiri wa bilioni na bilioni wakishindwa kumsaidia dada aliyefariki na wao wakitembeza bakuli.
Wasanii acheni uongo na ugonjwa ndiyo utajua...
Dada ana uthubutu Sana Kwa hilo nampongeza Sana
Itoshe kusema Kwa wanawake wenzake hakuna wa mfikia kina LUNYA, na wadada wengine wajipange kujitosa kumjibu KING KALI ni ushujaa mkubwa Sana
Msanii anayeunda kundi la TNC (Temba, sir nature na chege) chege amefunguka kuwa amestajabishwa na comment ya Sir Nature sina uhakika Yule ni nature mwenyewe kwenye social media kudai kalipwa...
Aisee huyu dogo ni genius wa muziki wa bongo.
Nyimbo za vilio vya mapenzi yuko poa. Sikiliza Inatosha na Unanionea utanielewa. Nyimbo za kuruka sikiliza Mama Amina. Nyimbo za kufurahia penzi...
Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao...
Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki dunia jioni ya leo...
Kitendo cha mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Sir Juma Nature weekend iliyopita baada ya kwenda studio kwenye kipindi cha Saturday Night Live akiwa na ndala na kaoshi...
1. Hasheem Thabeet net worth: Hasheem Thabeet is a Tanzanian professional basketball player who has a net wroth of $8 million.
Hasheem Thabeet was born in Dar es Salaam, Tanzania in February...
WAKUU NAFIKIRI KWEMA, NDUGU ZANGU WA HIP HOP NAWAOMBA HAPA.
At their peak, Albert Mangwair na Chid Benz nani alikuwa noma?
Forgive me
Albert Mangwair
Chid Benz
Naangalia kwenye TV hapa. So far naona Jay Melody ndio amewakuna mashabiki na Barnaba kidogo. Zuchu naona kama ana force kingi kwa mashabiki. Ngoja tuendelee kuona
Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini
Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na...
Tutakuenzi kwa mengi mazuri uliyotufanyia,
Tutadumisha umoja Upendo uliyo tuhusia,
Itakuja siku moja tena tutaonana tena,
Uliyoagizwa umefanya ulale mahala pema,
Hivi ndio kweli hatukuoni tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.