Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu.
Sasa show ikafanyika Nature...
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini
Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini
Lakini Kama kuna pesa...
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.
Bango hilo liko maeneo ya...
Sina mengi..
Hii ngoma nadhan jamaa alizindika sana kabla ya kutunga na kuitoa, ngoma haipotezi radha, sio kama miziki baadhi ukishasikiliza miaka miwili mitatu ile excitement inatoka, lakini...
Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM na TVE ikiwa ni miezi 5 tangu alipoachana na BBC ya Uingereza.
Vipi huu usajili huu Majizzo katisha au Kikeke kachemka?
Killy ameamua kufunguka baadhi ya ujinga uliokuwa unaendelea kwenye lebo iliyokufa ya jembe ni jembe iitwayo konde gang. Aliongea akijibu shutuma nzito alizotoa msanii mfupi machachari anaetumia...
Kiroboto sihitaji andika sana, hebu kaa na wadau mjini usisubirie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau itisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja tu.
Hiyo siku tuje...
Wakuu habari.
Miaka ya 2000 kulikua na mwanadada machachali sana katika Bongo Fleva anaitwa Zay to tha B mwanadada GaiDI.
Mwanadada alikua anajitahidi sana kwa nyakati zake kwenye game na...
Pendekezo la kumlipa Trevor Noah Randi Milioni 33 sawa na takriban Tsh. Bilioni 4.2 kwa Video ya Dakika 5 ili kuitangaza South Africa kama Kivutio cha Kitalii, limesababisha mpasuko baada ya...
Kwenda kutoa msaada huku ikiwa na kundi la waandishi wa habari ni unafiki mkubwa.
Hivi ndivyo walivyofanya Paula na Kajala wakitoa misaada kwa watu wasiojiweza huko Arusha ambapo mpango huo...
Kama ushapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo mpya wa Meja Kunta utakubaliana na mimi jamaa anajua sana tofauti na waimba singeli ambao badala ya kuimba wanapiga piga kelele tu.
Wimbo ni mzuri...
Uzi mzuri sana kwa ajili ya kupeana updates za kazi kutoka kwenye kundi la Abdallah Nzuda na mwenzie Amini Samofi
Hapa tutajadili michezo yao iliyotuvutia zaidi, matukio pamoja na wasifu wa...
Zama za Haji Manara zinaelekea mwishoni. Kwa sasa awepo au asiwepo kwenye jambo hakuna kinachoongezeka wala kinachopungua.
Sasa ameamua kupambana na wakati hataki kuonekna yeye ni ziada...
01) Kwa Jina halisi hufahamika kama "AGBEPA MUMBA Antoine, Christophe.
Yeye ni Mwimbaji,Mpiga Gita,Mtunzi wa Nyimbo, Mpangaji, Mtayarishaji, Mzalisaji, Promota wa Muziki, Mmiliki wa Lebo...
Mtayarishaji wa muziki namba 1 kwa sasa Nchini Tanzania, S2Kizzy ametangaza kupandisha bei ya kurecord wimbo mmoja kwake ambapo bei hiyo itaanza kutumika baada ya mfungo wa Ramadhan.
S2Kizzy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.