Wakuu
Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae...
Habari za Jioni.
Kuna clips zinasambaa mtandaoni zinazohusiana na kipindi kipya cha Wasafi Fm na Tv walichoanzisha chenye jina la Best Presenter.
Hili shindano lina mapungufu mengi sana naomba...
1. Martin Kadinda
Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi...
Jamani wanajamvi nisaidieni mwenye taarifa kuhusu alipo Basila Mwanukuzi, yule demu aliyewahi kushinda Miss Tanzania miaka ya tisini mwishoni yuko wapi kwa sasa na anafanya nini???
Yani huyu sijui ni muweke kwenye kikundi gani cha wasichana, dada, mama, watuwazima au wakongwe.
Bado naona yupo kwenye ujana tu na vijana. Leo nikitafakari umri wetu na wale waliokuwa mpaka wana...
Habari wa jukwaa
Katika muziki wetu hasa Wa bongofleva , kuliibuka makundi mawili yaliohasiana kutoka kundi moja LA TMK WANAUME lililokuwa na maskani yake pande za temeke na kuibuka makundi...
Leo nimekumbuka kipindi chako kilikuwa ITV sikumbuki jina kipindi kile ukifichua fichua mpaka wakakutia disprini.
Baadae ukaibuka Yanga nako ukawa DJ kushunundu.riziki si mwajuma japo wote ni...
Wakuu habari zenu,
Katika wimbo wa Saida Karoli unaoitwa Maria Salome' kuna mashairi yanasema
'Khalidi na Filimoni walipendana, mapenzi yao yakadumu,
Wenye wivu wajinyonge sana, wenye wivu...
Huko mitandaoni kuna Pepa la Hoyce Temu kutoka UN, Watasha wameropoka mbaya, Nimeliona kwa Mange kimambi na kwa @tzshadeeroom_backup inasemekana mwakilishi wetu huko Geneva alikua anazipiga sana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja...
Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba.
Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo...
Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki.
Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti...
Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara.
Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma...
Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa.
Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania.
Kwa mkataba wa...
Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul.
Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini...
...Kwa wale wafuatiliaji wa taarifa za habari katika TV zetu mtakubaliana na mimi kuwa huyu mwanadada Grace Kingalame ni moto wa kuotea mbali anapokuwa studio,hasa akiwa na Joseph Msami....Sidhani...