Wakuu kwema, Nawaomba hapa mnaefahamu Hip hop kwa undani kidogo.
Naomba kujua tofauti ya Rappers na Mcee ni ipi? Napenda Hip Hop lakini hadi leo hichi kipengele kwangu sikielewi..
Emcee na...
Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a #Tems kutoka Nigeria, ameweka historia ya kuwa msanii mwenye muda mfupi kwenye muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo maarufu ya #Oscar kupitia wimbo wa Lift Me...
Wadada wengi ndio maana mnashindwa kupata real love kwa mambo mafupi sana.
Kuna kipindi fulani nilimsikia baba levo kuachana na mke wake ni kwa sababu ya dini ila walizaa.
Sasa baba levo Mpunga...
Aisee yule mmakonde alikuwa hatari bwana.
Leo na hii mvua ya tangu jana usiku nikaona ngoja nijisikilizie nyimbo zetu za utuvu ndipo nikakutana na hii kitu 'Sanura' kutoka kwa huyu Tongolanga...
Habari.
Taarifa zisizo Rasmi inasemekana mtangazaji wa clouds na chawa promax wa wasanii mbalimbali nchini maarufu kama Mwijaku.
Amesimamishwa kazi na menejimenti yake baada ya utovu wa nidhamu...
Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari.
Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila...
Asee hiki kipind ni km kapewa baba Levo awe anatoa stori za safari zake na maisha yake,yan almost 65% ya kipind anasikika baba Levo
Wazo;Baba Levo apewe kipind chake maalumu afanye kushare stori...
Nimekuwa mpenzi wa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa, pia nimewasikiliza ma Rapa wengi sana wa hapa nyumbani na Afrika Mashariki kwa ujumla.
The Real FID Q ndio Rapa nilie tokea kumwelewa...
Mondi akiwa anaimba nyimbo za aina hii ya bongofleva anatisha sana.Nimependa Sana hii ngoma kuanzia uandishi mpaka melody yake ni Kali.Ujumbe wa hii ngoma unagusa watu wengi
.
Hivi imekuaje? Huyu jamaa anajiita Director Jowzeey kumharibia Malkia wa Muziki wa Injili Afrika Mashariki Rose Muhando na kumtolea video mbaya yenye giza na isiyo na mvuto.
Kuna sauti ya Rose...
Msanii Diamond Platnumz akiongea katika uzinduzi wa album ya Barnaba classic iitwayo Love Sounds Different, amesema wasanii wengi wanakwama Kwa kukosa usimamizi na uwekezaji wa pesa. Diamond...
Huko usafini nadhani hadi muda huu watakuwa wamechanganyikiwa baada ya muda mrefu kumkosa Nandy African Princess.
Sasa Msanii mkubwa wa kike wa bongo fleva amemsajili msanii aitwaye Yammy tz...
Nimepata taarfa bondia namba moja Afrika Mashariki, Karim Mandonga anajipanga kunyakua jimbo la Morogoro Mjini
Ni kweli anaushawishi wa kushinda Ubunge kwasababu vijana wengi Tanzania wanampenda...
Tapeli Jack Pemba, alipowasili nchini Uingerereza mwanzoni mwa miaka ya 2000, alibahatika kukutana na Binti kigoli aitwaye Victoria Chaplin, binti Victoria alimtambulisha nyumbani kwao na...
😳 Mapya yaibuka!! Licha ya Pele(82) kumkana mwanae huyo pichani wa nje ya ndoa maisha yake yote hadi alipofariki miaka 17 iliyopita, lakini kwa mujibu wa taarifa mpya kwenye mirathi aliyoiacha...
Huyu ex best friend Wa wema sepetu pamoja na ex girlfriend Wa diamond siku hiz simsikii kabisa,hivi kapotelea wapi??
=========================
Hivi yule mwanadada aliyekuwa anatoka kimapenzi na...
Huu Ndio Utajiri wa Msanii Diamond Platnumz
by Frumence M Kyauke.
Nasibu Abdul Juma Issack, almaarufu Diamond Platnumz, ni msanii Afrika mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji vilevile ni msanii...
Nasikitika Sana kukuona Dada yangu mziki unavyokupoteza mpaka unavaa nguo zisizo na staha.
Mbaya zaidi wewe ni muislamu na waislamu wenzako wanavaa Kwa staha. Am so Disappointed .
Why why why...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.