Kuna hili pini la Stamina la zamani sana wakati yupo kwenye harakati zake za kutoboa zaidi.
Stamina ft Godzilla(r.i.p),Izzo B___Punch after punch. Imepikwa kwa Mesen pale...
Mi naomba kama...
Kama IRS (The Internal Revenue Service - Revenue service for the United States federal government) ingekuwa TZ kufuatilia wapenda sifa naona wangenyoosha mikono juu wasanii.
Wasanii mnapenda sifa...
Soma upate funzo
Darasa la tano na miezi nane yake ilikwisha katika, masomo yalipamba moto miezi hiyo, kila mwalimu alijizatiti kumaliza topic zake kabla muda hujawa watupa mkono, fimbo...
Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii Nguli si barani tu bali duniani kwa ujumla, kwa mfano, Shilole+UCHEBE, Wema Sepenga, Wolper, Aunt Ezekiel+Moses Iyobo, Steve Nyerere, Single Mtambalike, JB...
Haji manara albinoz mjanjaz
Baada ya Manara alipewa adhabu na TFF asingekuwa mjanja tungeshamsahau.
Maana usemaji wake ndio kazi inayomfanya aonekane na kupata dili zingine.
Mbinu yake ya wake...
Wakuu
Naweka picha za show yake ya Sweden tuseme ukweli wasanii wetu wakienda huko wanaweza kupata watu wengi kiasi hicho? Au tuendelee kukomaa na Burundi tu wanakotuelewa.
Mahabati yangu kwa nyimbo za Saida siwezi kuyaelezea " yako juu, juu mawinguni", nazungumzia zile nyimbo za zamani za kiasili akiimba kwa lugha ya kihaya., "mapenzi kizunguzungu" ni moja ya nyimbo...
Hattrick sio mpirani na Ndoani pia ipo.!! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Haji Manara Leo kuongeza mke mwingine wa 3 bint anaitwa Rushaynah Athumani.Kumbuka.
Kwa utamaduni wa kiafrika...
Leo nikiwa kwenye daladala nimeshangaa kila ngoma zinazopigwa zipo muelekeo na miondoko ya Nitongoze ya Diamond na Kwani tsh ngapi/ Huna hela ya Vannyboy , inaonekana baada ya izo ngoma kuhit kila...
We have the best hiphop artist na wamefichwa na media . Huyu artist is very smart. Anajua kuandika slow artistic rap . Sio makelele. He should be one of the best hip hop house names hapa bongo...
Nasema nyumba ya tope kwa sababu Dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi Luludiva ndio anaweka record...
Mtoto wa Mfalme Charles na hayati Princes Diana, Prince Harry anakiri katika kitabu chake kipya kuwa aliwahi kutumia dawa za kulevya aina ya Cocaine akiwa na umri wa miaka 17, lakini anasema...
Akiwa Marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.