Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Elimu: >> source pdf page 90 << Degree ya udaktari, MD- Doctor of Medicine- UDSM Masters ya udaktari, MMed - Masters of Medicine - UDSM Masters ya jeshini, MSS - Master in Security and...
22 Reactions
128 Replies
13K Views
Thabit Abdul amefunguka kuwa ana mpango wa kuipeleka taarabu kanisani kwa kuimba kwaya yenye mahadhi ya taarabu Thabit amedai kuwa waimba kwaya wengi wenye majina makubwa nchini wamemfuata ili...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Nachelea kusema huyu Dada ni kati ya presenter Bora .... Bora saanaa kuwahi kutokea hapa karibuni. Anatishaaa... Hakika Pengo la Fetty limezibika vilivyo. Aliye na picha ya mtoto huyu mrembo...
4 Reactions
134 Replies
56K Views
Bondia bora wa muda wote katika madaraja yote ya ngumi (Pound for pound),Floyd Mayweather aliwahi kusema "If it makes dollars it makes sense" kauli hii aliitoa baada ya watu kumshutumu kwamba...
10 Reactions
41 Replies
3K Views
Msanii nguli wa muziki wa injili Bahati Bukuku amefunguka kuhusu safari yake ya kimuziki toka alipotoka mkoani mbeya na kuja Dar Es Salaam. Bahati Bukuku anaeleza kuwa aliondoka mkoani mbeya kuja...
13 Reactions
62 Replies
13K Views
Baada ya siku nyingi kupita tangu Shilole na Barnaba watemane, imebainika kuwepo kwa siri kubwa zilisababisha wawili hao watemane. Chanzo cha karibu na Barnaba kimedai...
3 Reactions
38 Replies
13K Views
Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza .
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Miongoni mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na...
7 Reactions
28 Replies
7K Views
Katika pita pita zangu huko mitamdao mingine nimeona DC wa wilaya fulani amembeba mtoto inaonyesha tayari kajifungua ni wake.kama tunavyojua jf ina wataalam/wajuaji wa kila kitu habari za...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Na Andrew Chale(MNGONI ORG) Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Kulikua kuna haja gani ya yeye kuwajibu mameneja Wa WCB? Kwamba kosa ni yeye kuwekwa No. za mbali katika zile Top ten za wale Mameneja? Ile ni mitazamo binafsi ya watu, kulikua na haja gani...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
2 Reactions
65 Replies
9K Views
Mwanamuziki Joseph "Jo Mersa" Marley, ambaye ni mjukuu wa Mwimbaji Mkongwe wa Reggae Hayati Bob Marley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31, vyombo vya habari vya Marekani viliripoti...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same...
41 Reactions
127 Replies
23K Views
Mwijaku amedai ni aibu kubwa kwa msanii mkubwa Kama Nandy na mumewe kuendelea kusaidiwa kutunziwa Mtoto na msanii mwenzake Diamond. Mwijaku amemtaka Nandy akamshukuru ndg Diamond kwa kipindi...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc. Watu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa picha na ujumbe huu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa serikali, hakika bado tuna safari ndefu. Mwingine alipost amebeba gunia begani. Je, ina maanisha nini? Kwamba hatuna nyenzo za kurahisisha...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Huyu mwanamama RestutaBura ni mpambanaji kwelikweli, pamoja na mambo mengine yanayomkuta bado anasimama kama mmoja wa wanawake hodari na watafutaji kila wapoona fursa. Rest anafanya biashara ya...
11 Reactions
187 Replies
21K Views
Awa watu wanafanana kwa 100% unaweza kusema P-Didy kazaliwa upya barani Africa namna Diamond Platnumz anavyofata vema nyayo zake. Licha ya kwamba wote ni wasanii wenye mafanikio makubwa duniani...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Back
Top Bottom