Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Taifa lenye watu 60m msanii akatoa albam akauza hata kwa alfu 3 kwa 1% ya watu wote nchini ambao ni kama watu 2m anaweza kupata kitu kama bilion 6,kiasi ambacho sidhani kama kuna msanii anamiliki...
1 Reactions
5 Replies
583 Views
Kijana kampenda kweli yule dada, shida dada yule hana mipango anawaza kutumia pesa tu na si kuzitafuta. Amepata fursa ya kuwa manager ili ajipatie kipato halali KUPITIA ubunifu wake na kujituma...
10 Reactions
21 Replies
4K Views
Hongera sana shujaa wetu. Miaka 103 sio mchezo.
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Wacongo wanaomboleza kifo cha mwimbaji mashuhuri Tshala Muana. Muana alifariki dunia leo Jumamosi asubuhi, Desemba, 10. Kulingana na vyanzo vya habari vya Congo, Muana alifariki mjini Kinshasa...
16 Reactions
113 Replies
9K Views
Harmonize mwanamuziki mwenye uwezo na bidii. Sina uhakika kama anajielewa au hata ana meneja mzuri. Au huenda anayo menejimenti nzuri ila ye ni kichwa ngumu! Nimeshangaa kuwa anataka kutoa album...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni ukweli kijana yupo vizuri anaijua historia ya timu husika na hachoshi kumsikiliza 🙌🙌
7 Reactions
65 Replies
5K Views
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto...
7 Reactions
83 Replies
15K Views
Daima dumu huwa naamini maisha ya sanaa ya muziki hayana tofauti na kukidunda kitenesi kwenye sakafu automatically kitaenda juu na kisha kugonga ceiling board na kurudi chini huku kikipungua kasi...
51 Reactions
51 Replies
13K Views
Wasalaam wanajamvi....... Ni ukweli uliowazi muziki wetu umetwaliwa sana na matukio(kiki) na wanamuziki wetu wamekuwa wakitumia kiki hizo kusaidia kusukumu shughuli zao za kimuziki na kubaki...
18 Reactions
85 Replies
11K Views
Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo) Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani...
33 Reactions
83 Replies
7K Views
P Funk Majani Ni Bulldozer. Amechonga Barabara kubwa katika Sanaa ya mziki ambayo Hadi Kufika leo Hapa Inatakiwa Tumpe Maua Yake. Kitendo Cha Sallam Kumjibu vibaya ni Kumkosea heshima...
9 Reactions
115 Replies
12K Views
Salaam wakuu,Leo katika historia ningependa tuvijue baadhi ya vituko vya rapa 50 cent. Anaitwa Curtis james Jackson japo wengi tunamfahamu kwa jina lake la kisanaa 50 cent. Amezaliwa 6/7/1975...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Brazil, mwili wa Pele utaanza kuagwa Jumatatu kwenye Uwanja wa Vila Belmiro wa Santos, baada ya shughuli za Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais wa 39...
13 Reactions
82 Replies
6K Views
Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
NILIDHANI walioziacha fikra za Mwalimu ni viongozi wa CCM peke yao, kwa hakika nilikuwa nimekosea sana. Jumamosi iliyopita wakati Watanzania wengine walikuwa wanafurahia ushindi wa Taifa Stars...
2 Reactions
286 Replies
49K Views
Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Huyu bwana huwezi ni ngumu kuangalia video zaidi ya 10 kwenye Tiktok bila kukutana na video zake, wengine wanamuona kama mtu shujaa na msema ukweli na wengine wanamuona kama mtu katili kwa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mchezaji wa Ufaransa na PSG, Kylian Mbappé hajawahi kuweka wazi mahusiano yake lakini anaripotiwa kutoka na mwanamitindo aliyebadili jinsia Ines Rau. Mbappé na Ines Rau wameonekana mara kadhaa na...
4 Reactions
470 Replies
27K Views
Hivi ni combination ipi apa ambayo una ipenda wewe. Kati ya ringo na tin white au tin white na mkojani
13 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom