Mr right ni show inaonyeshwa startimes na wasichana wanachaguliwa na wanaume single ili waolewe.
Ila baada ya yote Kuna huyu mmaza alikuwa huko majuzi hapa anahojiwa anadai yupo single na majuzi...
Habari wadau wa JF,
Aisee kitambo sana sijamsikia mtangazaji mwenye vibe plate number D kwa hewa,huwa nilikuwa namsikiliza kwenye planet bongo au kwenye The Cruz ila kwa Fasi zote zimsomi kabisa...
Tukiwa tumetoka kusherehekea kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo wa Nazareti, Tunasherehekea mwanzo wa Safari ya ukombozi wetu.
Yesu ametufunza upendo na heshima kwa viongozi wetu, Kiimani mimi...
Huyu jamaa licha ya watu kusema ana gundu ila mimi naona sio gundu tu, ni kwamba menejimenti yake pia haimpush vile inavyopaswa. Nimeshuhudia mara nyingi Mbosso/Zuchu na boss mwenyewe wakiandaliwa...
Katika interview yake pale Clouds ameeleza situations mbalimbali alizopitia katika maisha za mateso na kuumizwa hata kupelekea kubaki na makovu ya mwili na rohoni.
Ni nani huyo mtu tishio kwa...
Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa...
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu...
Diamond platnumz ametoa maji ( drain) swimming pools zake zote wanapoishi wanae. Mind kadai sababu kubwa ya kufanya hivyo Ni kuongeza usalama kwa wanae.
Amewaandikia barua watumishi wake wote...
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?
Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote...
Katika Muendelezo wa Mafanikio ya Mkoa wa Kagera mara baada ya shule za Kemebos kuwa wa kwanza kitaifa na kimataifa sasa ni zamu ya Mc wa Kimataifa Mc Gara B kung'aa kimataifa baada ya kupata...
Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala...
Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa...
Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.
Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu...
Lucky Philip Dube maarufu kama “Lucky Dube” mzaliwa wa Mpulanga Afrika kusini.
Huyu ni miongoni mwa wanamuziki ninao wahusudu na kuwapa heshima kubwa hapa barani Afrika na duniani kwa ujumla...
Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.
Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.
Kipindi cha...
Kwangu mimi
MFALME - Q chief
Nikilala naota - jide
Namtafuta aseme
Kama unataka demu - Solo thang
kazi ipo - wanaume
Sintobadilika - Mie tee
Malkia - Ray C
Uko wapi
Soge sogea
Na wewe Milele...
Chanzo kikuu kilichomuanoda Mendez Salam SK wcb ni hiki shuka na mimi
Mendez kama meneja alimshauri boss wake Diamond kwenye relationship status hawez kuwa na Zuchu
Maana hana mvuto kibiashara...
Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.