Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika...
Unjani sabuwona
Wakuu leo jumapili yangu imeenda poa sana mamilioni yanaendelea kutililika tu sijui nyie majobless wenzangu kikao cha harusi yangu kinaenda vizuri sana muda si mrefu...
Umri unakwenda ila kipindi cha clouds FM na TVT kabla kuitwa TBC walitamba sana.
~ Aisha kimobitel na nyimbo ya Mgumba
~ Mao santiago kipindi yupo Chuchu Saundi
~ Banza Stone
~ Mwinjuma Muumini...
Kuna kijana mmoja aitwae Baraka, alitrend sana na kuvuta hisia za watu wengi kipindi kile cha awamu ya tano kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuigiza sauti ya Rais Magufuli.
Alijizolea umaarufu...
“The Kid You Know” albamu ipo masikioni mwa mashabiki wa Marioo tangu December 9. Albamu hii yenye nyimbo 17 imepambwa na kolabo 12 za Afrika, miongoni mwa kolabo kubwa zinazopatikana humu ni I...
RECHO TEMU AINGIA PABAYA
Jamani yaani tumbo la Uzazi hadi linanikata kwa kweli. Mwanadada mwenye makeke yake, Mdogo wa mwana diplomasia na Balozi wa Nchi yetu huko ughaibuni atamuua dada yake...
Wakuu kwema, Habari za asubuhi? Njooni kidogo tuzungumze.
Hivi ipi tofauti ya MC na Rapper kwenye Hip Hop?
Nini kinawatofautisha? Nitajieni Ma-Rapper na Ma-MC.
#forgive me
Patcho Mwamba, jamaa alipata aleji ya kuvimba mwili baada ya kunywa bia fulani jina kapuni, na baada ya kuanza kuwashwa sana alipiga picha na kuweka kwenye ukurasa wake wa instagram.
Baadae kuna...
Tuwe tu wakweli tuache nongwa Baraka Da Prince anajua sana basi tu changamoto za maisha zinamfanya anakua na kisilani sana na lugha za matusi bila kuogopa wakubwa zake kwny tasnia.
Jamaa katoa...
Habari za week end wadau!
Katika tafakuri zangu kuhusu Sanaa yetu ya bongo, nimeona niandike Uzi mfupi kuhusu artists hasa wale wenye vichwa viwili( mabeberu wenzangu). Mwenyezi Mungu ametujalia...
December 08,2022.
Mchezaji kikapu raia wa Marekani Brittney Griner aliyekuwa ameshikiliwa nchini Russia tangu mwanzoni mwa mwaka huu ameachiliwa huru Leo.
Mchezaji huyo alihukumiwa kifungo cha...
Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy.
Nimemiss...
Jamaa kuna angle mbalimbali nashindwa kumuelewa
Kwanza amepoa sana kwasasa zile pirika pirika zake za mziki attention na maisha yake ya mtandao amepoa
Pia kwenye mziki ni kama hayuko serious...
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari
Miaka mingi imepita I think less...
Wa WASAFI FM SPORT ARENA anaitwa MWANAIDI SULEIMAN
Wa E-FM SPORTS HQ anaitwa TUNU HASSAN.
Yaani hawa wakiongea ni SHUDU TU... Hata vile wanavyojaribu kuchokoza mada... Wanashindwa hata kujenga...
Naingia moja kwa moja.
Wanasema gift and curse ni vitu viendavyo sambamba. Hili tumeona kwa late Michael Jackson, Whitney Houston na wengineo.
Kwenye suala la uandishi wa mashairi mazuri mr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.