Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao. Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Account ya Kanye West ya Twitter imekuwa suspended kwa madai kuwa amevunja sheria za twitter na kuandika lugha inayoashiria uvunjifu wa amani. Asubuhi ya December 2, Kanye alipost picha ya Elon...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao. Ni...
36 Reactions
280 Replies
129K Views
Mmh shoga kashaona wamachame maji marefu kaamua kujipendekeza mwenyewe yaishe mxieew umaskini mbaya, kaa upate mgawo wako ulee watoto wako, watoto wa mengi sio maskin kama wewe, shukuru Mungu tu...
8 Reactions
79 Replies
8K Views
Jarida la Forbes limemuondoa rapa na mfanyabiasnara Kanye ‘Ye’ West kwenye orodha ya wasanii mabilionea, baada ya mkataba wake na kampuni ya mavazi ya Adidas kuvunjwa leo. Kanye amebaki kuwa na...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna watangazaji wanavutia kuwasikiliza au kuwatazama pindi wanapokuwa wanatoa taarifa au kuongelea jambo fulani. Kwa upande wangu hawa nawakubali sana, Kuvichaka #Jabilsaleh wa EFM na TV E na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Amepost kwenye insta story yake MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa...
27 Reactions
41 Replies
11K Views
Nina uhakika Kitendo chenu cha Kuachana nae (Retrenching Him) pamoja na Watangazaji wenu Wengi wakiwemo Watangazaji Maarufu (Ninaowahifadhi) ambao wanafikia 27 mlitupoteza Wasikilizaji wenu. Ni...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
November 25,2022. Mahakama moja nchini China imemhukumu mwanamuziki wa zamani wa kundi la K-pop Kris Wu kwenda jela miaka 13 kwa kosa la ubakaji Mahakama hio ya Beijing ilisema amehukumiwa miaka...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Habari za mda huu wanajukwaa Kutokana na kazi za uyu bwana SABINUS ambae jina lake halisi ni EMANUEL CHUKUEMEKA nmeleta andiko hili sio kwa ubaya ila kuuliza wajuvi wa mambo Kama Kuna yeyote...
10 Reactions
143 Replies
7K Views
Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya...
0 Reactions
4 Replies
771 Views
Range ya Zamaradi Ilivyopatikana. Issue iko hivi Zamaradi alinunuaga nyumba kipindi yupo na Ruge, Ruge alimsaidia kununua hiyo nyumba. Then akanunua kiwanja mwenyewe kipindi yupo na Ruge, baada...
20 Reactions
156 Replies
16K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mchekeshaji aliyejizolea umaarufu mitandaoni Jackson Sakwile maarufu kama “Mkaliwenu “ametunikiwa gari la kifahari aina ya BMW X5 na Nabii maarufu nchini Dk GeorDavie...
7 Reactions
82 Replies
10K Views
Ikitokea Nimepata Tatizo Lolote La Kiusalama, Kuanzia Muda Huu Unapoona Hii Post Atakuwa Anahusika Rashid Makwilo Almaarufu Kama Chid benz na Genge Lake La Wahuni. Kwasababu Wamenifuata zaidi ya...
13 Reactions
83 Replies
7K Views
Ndani ya ndege kwenda Qatar
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha...
24 Reactions
176 Replies
18K Views
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile. Miaka kadhaa...
26 Reactions
44 Replies
9K Views
Kwamba unavaa milioni kumi toka juu kichwani mpaka kiatu chini, ili waliokosa riziki siku ya leo wasemaje ? Wamuone MUNGU anaupendeleo ama ? PROVERBS 1: 32 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
820 Views
Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea. Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom