By Sangu Joseph
Siku kadhaa Nyuma nilipata muda wa kutafakari kwa kina kuhusiana na Mchekeshaji Joti, nadhani kama Heshima anayopewa siyo anayostahili hapa kwetu Tanzania.
Mimi kwangu binafsi...
Albert Mangwair ft Lady Jaydee - Mapenzi gani.
Naisikiliza hapa hii ngoma, asee Cowbama ilikuwa kiwango kingine, ujumbe, huu mtiririko wa humu, midundo.
R.I.P Cowbama.
Naona kuna uwezekano haya ni mambo ya ndani sana ambayo pia msela alishaifahamu. inaonekana bomu hili lilizimwa kiutuzima na watu wengi kuficha heshima ya kanisa lao na jamaa yao kiongozi.
Sasa...
Hawa jamaa wamerudi na ngoma yao nyingine ya mzee wa busara part II. Wanafurahisha tu kuwaskia tena baada ya miaka mingi wamenirudisha back in time. Nature kweli kiroboto yupo vilevile na ubora...
Tuukubali ukweli kwamba kila nabii na zama zake. Tuliona miaka ya elfu mbili mastaa kama Professor Jay, Ngwea, Fid Q, Kalapina, Juma Nature n.k, wakitawala Hip Hop huku Fid Q ndio akivaa taji...
Hivi kuna muimbaji wa muziki wa injili aliwahi tokea kumzidi Rose Muhando, naongelea wote wakike na wakiume?
Kwangu mimi bado sijaona! Ukianza na Uwe Macho, Nibebe, Utamu wa Yesu, hizi album...
Jana huko mitandaoni palizuka ugomvi wa haja uliopelekea mwanamama Restuta Kweka aka rest BBQ kuingia live na kuwachamba mno Open Kitchen na Rachel Temu.
Kisa cha ugomvi ni biashara mpya...
Aisee baada ya kifo cha TAKE OFF sijui kama kundi litaendelea kuhit..kifo cha jamaa kimetikisa sana yani bado najiuliza why niggaz wanauana sana huko USA?? ukisikiliza album kama CULTURE III ndo...
Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha Movies ya NETFLIX
Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika!
Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu...
Muziki una ushawishi mkubwa Duniani kisiasa (wakati wa kampeni na ziara ),kiuchumi na kijamii.
• Takwimu zinaonyesha kwa wastani mtu mmoja ana tumia masaa 961 kusikiliza muziki kwa mwaka.
•...
Hawa wasanii wa bongo starehe zitawapeleka pabaya
Kibaya zaidi wakipata shida wanaenda kulia kwenye mitandao ya kijamii na kuomba msaada
Mimi nadhani Wasanii wa bongo wanaitaji elimu ya...
Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.
Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama...
Mke wa zamani wa Billionea wa Microsoft Bill Gates, Bibi Melinda Gates (58) ameangukia kwenye penzi jipya na Mwana habari Jon Du Pre.
Wawili hao walionekana Kwenye mchezo wa Kikapu pamoja na muda...
Hip Hop/Rap Music ni Mziki Wenye Ushawishi Mkubwa Hasa kwa Vijana Wanapofikia Age Fulani. Licha Ya Hapo Mwanzoni Hip Hop Kujikita Zaidi Kiharakati Na Muziki Unaopendwa Zaidi Na Kundi Fulani Katika...
Wakiwa njiani baada ya kukubaliana na Prof Jay kuwa kuna show wanaenda kupiga mkoa fulani, Ferooz ghafla akamwambia Prof Jay kuwa naona miyeyusho hii safari kama vipi nageuza [emoji23][emoji23]...