Franco luambo luanzo makiadi ni mwanamuziki anayefahamika sana barani Africa kwa nyimbo zake nyingi nzuri na ambazo mara nyingi alizitunga kutoka katika maisha yake binafsi
Baadhi tu ya nyimbo...
Hii habari ndiyo kwanza nimeiona. Binafsi ni mmoja wa mashabiki wake .
Hii habari imeni_pain mno. Hapo kabla alisha_survive matukio mawili ya kupigwa risasi. Hili tukio limetokea jumatano mchana...
Baba wa kambo wa Pac na baba mzazi wa rapa Mopreme, kaka yake Assatta hatimaye yuko huru, lakini ana siku chache za kuishi sababu ya kansa.
Taarifa zaidi inafuata.
Ingawa binadamu hatupendi kutangaza mafanikio ya watu ukweli ni kwamba Kanyewest anakwenda kutajirika kwasababu United (benki inayomilikiwa na watu weusi) imempa nafasi ya kuwekeza pesa katika...
Sasa hivi shujaa wetu Majaliwa apewe muda apige pesa na matangazo ili sasa Januari aende kupiga kwata, si vema kumuwahisha sasa hivi.
Hata hivyo, nina wasiwasi na wale watu wa majeshi huko...
Maneno ya Baba Levo akihojiwa huwa anaongea vitu fulani hivi ukivichunguza utajua nini kinaendelea Konde Village.
Mara nyingi Baba levo akiulizwa mahusiano ya Kajala na Harmonize amekuwa akijibu...
Wana Jamii Forums hope ni wazima wa afya, njooni tujadili kidogo.
Hivi ni kweli kwenye uzima wake Albert Magwair hakukuwa na rapa mkali kuliko yeye? Ni kweli pengo lake Ngwair hadi leo...
Kwenye wimbo wake " Troublesome 96" Tupac anasema " SCREAMIN CUFK ALL Y'ALL NIGGAS IN SWAHILI"
# Nimepata ushahidi mzito na wenye mashiko kuhusu Tupac kuwa hai. Nitaupost kesho.
# The other day...
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili eneo la Kati Mary Lincoln amejikuta akiingia Kanisani kutubu na kutafuta maombi baada ya picha na video zake za utupu kusambazwa mitandaoni.
Aliandamana na...
Taarifa zilizopo ni kuwa Anjela yupo Basata akipambana angalau kupata haki yake, hata hvyo mshale unaonekana atashindwa tuu, mana Harmonize hajatangaza kumfukuza kama alivyowafukuza wengine...
Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga).
Harmonize...
Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa...
Rapper kutoka Toronto, Canada, Drake, pamoja na rapper kutoka Atlanta, Georgia, 21 Savage wameshirikiana kuandaa album inayoenda kwa jina la "Her Loss." Album hii ilitarajiwa kuachiwa hewani...
=
Nay hajawahi kuniangusha ! Ujumbe umefika......
=
Lyrics
Sauti Ya Watu - Nay Wa Mitego
...
Hii sio sauti ya kiharakati
Wala ukombozi wa musa na fimbo yake
Bali haya ni maumivu ya mnyonge...
Wana JF
Watu wengi wamekalia lawama nyingi sana na kuhukumu kila kukicha nafasi ya kondeboy Harmonize katika mikakati ya kuangushwa na mpenzi wake na mtu mzima Kajala.
Pengine ufagio mpya...
Wale wapenzi wa muziki wa Congo watakua sio wageni wa Petit/Little Reagan. Bwana mdogo aliesherehesha albamu ya mwanamuziki wa Congo B. Bula Ponderation 8 ya mwaka 1999/2000.
Kwenye hiyo albamu...
Kwa wanaofuatilia Amapiano watakuwa wamesimkia Uncle Waffles....He is a South African Amapiano artist....
Ana track yake inaitwa Tanzania....Tanzania ni club iliyopo Jozi. Sababu za kuiita track...