Nimekaa nikafikiria Kama kuna mtu mwenye huzuni duniani kwa sasa atakuwa mwanamama Celine Dion sababu kafiwa na mumewe alhamis kabla hata hajamzika mumewe Jana kaka yake kafariki yaani kapoteza...
Nimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa. Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?
Hata hivyo kwa jibu lolote, najua hakuna jipya chini ya jua.
Angalieni hii video.
Khaled anaweza hizo gharama za utunzaji, gharama za kupaki? Aah kwanza huko mbali, bei ya hizo ndege ni $100M-200M, eti anataka awe kama Drake!
Drake mwenyewe siamini kama...
Mwenye Buti ni tajiri namba moja duniani Elon Musk na Mwenye Koti ni msanii maarufu nchini marekani Kanye West wakiwa kwenye picha ya pamoja. Wenzetu wanaishi maisha ya tofauti sana huwezi dhania...
Baada ya Harmonize kavunja mkataba wa Cheedy pamoja na Killy chini ya Label yake ya Kondegang baada ya kufata pendekeza la Manager wake Kajala Masanja.
Cheedy na Killy wameenda Basata kudai...
Tukio hili limefanyika ndani ya Kanisa la Feel Free Church jijini DSM
Mama mchungaji Monica Leo Ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa hivyo mumewe ambaye ni Askofu mkuu wa FFC Tanzania mchungaji...
Najiuliza HIV inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hiv anadhan mikataba inaweza kuvunjwa kirahis tu na basata. Afate masharti ya...
Promota wa onesho la CHIMEZIE CHUKWUBUIKE ametoa malalamiko yake juu ya msanii wa Bongofleva Harmonize ambaye kakiuka makubaliano ya kufanya onesho.
“Nilimpa Harmonize pesa Dola elfu kumi kwa...
Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa...
Video hiyo hapo
"Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi...
Oya kwema wakuu?
Jana katika pita pita zangu nikamfuma huyu jamaa bishoo kajibanza mahali anapiga chai kwa mama ntilie. Nikajiuliza zile show off za kutumia mamilioni kwa ajili ya kifungua kinywa...
Sina nia ya kumdharau mtu, lakini ukweli lazima usemwe.
Harmonize ni Msanii mkubwa kwa sasa hapa Tanzania, ukitafuta Wasanii watatu wanaofanya vizuri kwa sasa hapa Tanzania huwezi mkosa...
Msanii wa kike namba moja Africa ya mashariki na Kati supastaa Zuchu leo amechaguliwa kushindania tuzo ya MTV Europe music awards.
Ameingia kwenye kipengele cha best african act na mshindani wake...
Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu.
Biashara ya kuuza video...
Sio vibaya hawa wakijipanga sehemu nyingine. Muziki ushawaacha.
1. Fid Q
Si vibaya ukapumzika. Maisha sio music pekee.
2. Joh Makini
Samahani. Inauma lakini ndo ukweli.
3. Mwana FA
Kaka umebaki...
OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paula kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty...
Wanawake wenye tamaa huwa wanafiki sana. Hasa hawa wetu huku. Huyu ni mwanamke maarufu aliandika yake ya moyoni kuwa anavutiwa kingono na wanaume weusi.
Ijapo bwana yake simfahamu, hiyo ni...
Ukubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri.
Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola...