Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mtanzania Kill Paul ambaye amejizolea mashabiki na umaarufu katika mtandao wa TikTok na Instagram haswa kwa kucheza na kuigiza nyimbo za kihindi akiwa amevalia vazi la kimasai pamoja na mdogo wake...
13 Reactions
46 Replies
5K Views
Wote tunamfahamu Masanja vizuri alivyojilea na kujikuza. Ni mchekeshaji na ndiyo kazi iliyomtangaza. Lakini pia tunamfahamu kuwa ni mropokaji asiye na adabu mbele ya watu na ana matusi na mizaha...
23 Reactions
59 Replies
5K Views
Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki. Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Diamond amechukua vionjo vya ngoma ya Akili ze Brain inayoitwa Regina, akaenda kuomba kushirikiana na nyota mkubwa India mwenye mashabiki mabilioni na sasa kwa kutumia ubunifu wa Akili ze Brain na...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Mwigizaji Angelina Jolie amefungua shauri mahakamani akimshutumu mumewe wa zamani, mwigizaji Brad Pitt kwa kumshambulia yeye na watoto wao kwa ulevi wakati wa safari ya ndege ya kibinafsi, na...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Miaka 72 ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya nne (2005-2015), Jakaya Kikwete imekuwa na simulizi nyingi zinazogusa maisha yake, kubwa ni kutoka kwa mkewe, Mama Salma Kikwete. Wawili...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo 07.10.2022 Mzee Jakaya Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne Nchini Tanzania anatimiza miaka 72! Je, unakumbuka yapi toka kwenye uongozi wake? Tumtakie maisha mema na yenye baraka tele!
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Binafsi namchukulia warumi Kama shujaa kwasababu nimejiuliza maswali yafuatayo. Ugonjwa wake wa Figo sio kitu kilichokuja ghafla Kama ajali ya bodaboda ulianza polepole hatua kwa hatua mpaka...
66 Reactions
115 Replies
22K Views
Nmefurahi sana baada ya Mandojo na Domokaya kuamua kufanya video ya wimbo wao wa nikupe nini. Wimbo unazaidi ya miaka 19 ila bado unaishi, Kwa kuutengenezea video leo itasaidia kuwaingizia...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana. Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa. Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa...
16 Reactions
130 Replies
18K Views
Salaam wakuu Tuongee ukweli, Nasib analalamika eti wakina Konde Boy hawana fadhila kisa kujitoa kwenye lebo yake. Je, yeye alipojitoa kwa Bob Junior akaondoka na jina lake, alilipa nini...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku mbili tatu za connnection kutoka kwa mange kimambi hatimae leo wajanja wa nyuma ya keyboard wamemuweza..
7 Reactions
112 Replies
18K Views
Kupitia Instagram Mwijaku atoa pole kwa Masanja na kutoa onyo vijana atakayepita na mke wake.
9 Reactions
54 Replies
6K Views
Kayaandika haya KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!! Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa. NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU. Hili nalo litapita🙏🏿 TUOMBEENI NASI TUNAOMBA. MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
21 Reactions
156 Replies
23K Views
Hii kwaya Ilivumaga sana miaka ya 90 huko, Nyimbo zao maarufu ni pamoja na Samson na Delilah, Katika viumbe vyote Ayoub. Hii kwaya ilijipatiaga umaarufu sana enzi hizo, naomba kujua kama hawa...
29 Reactions
105 Replies
25K Views
Ni miaka kumi na mbili (12) tangu kuanzishwe migahawa hii maarufu hapa bongo, kwa ambao washapata huduma za samaki samaki watakuwa mashahidi juu ya ubora, huduma nzuri na kikubwa ubunifu...
19 Reactions
159 Replies
36K Views
Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda. Hii...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
🤣🤣🤣🤣🤣Sitii neno lolote hapa
10 Reactions
25 Replies
5K Views
Mmakonde huyu wa Chitoholi ndiyo msanii namba moja hapa Bongo kwasasa.
6 Reactions
11 Replies
9K Views
Back
Top Bottom