Salaam kwa wana Yanga na wale ambao hamjabahatika kuwa wanayanga.
Wanaume huu wimbo si mbaya kucheza na mpenzi wako kwani unamaudhui mazuri ya yeye kujidaia wewe.
Ila sasa Jana nkazama boardroom...
Masanja Mkandamizaji ameulizwa anahisi kwa nini watu wengi hawamuelewi kwa namna yake ya mahubiri amesema kuwa sababu kubwa ni kuwa kuna watu wengi wanatamani awe kama Mtumishi wao yaani afanane...
Mkongwe huyo wa Muziki wa Hip Hop aliyetamba na Wimbo wa Gangsta's Paradise amekutwa na umauti akiwa na umri wa miaka 59 nyumbani kwa rafiki yake Los Angeles, Marekani.
Rapa huyo ambaye jina lake...
Huyu mwamba hanaga baya.
Michongo yote anapata insta kama kawaida akipost kitu anaangaliaangalia waliocoment halafu anazama DM.
Gwiji wa kariakoo bingwa kabisa afrika mashariki na kati anaitwa...
Linapokuja suala la ushirikina katika jamii kwa wanaoamini katika hili according to roma mkatoliki anasema "wachawi (wanga)wengi ni wanawake kuliko wanaume.
Hata wanaokwenda kwa waganga wengi ni...
Wanasema utanyimwa kula ila siyo umbeya
Haya dada mwenye habari zake mjin cocastic njoo utupe habar kamili juu ya hili?
Kupitia kipnd Cha leo Tena segment ya zilizokiki nimemsikia Jose mara...
Hizi ni ngome tatu katika muziki wa Bongo Fleva Tanzania.
Unajaribu kuwaza hawa watu walivyokutana siku hii walipiga stori gani?
Pia unajaribu kuwaza kama hawa watu walijuwa leo wataitwa Legends...
1.fireboy ft ed sheeran_peru
2.oma lay ft Justin beiber_Anttention
3.burnaboy ft ed sheran_for my hand
4.chris brown ft Wizkid_call me everyday
5.rema ft Selena gomez_calm down
Mwanamuziki Shakira (45) kufikishwa katika Mahakama ya Uhispania kwa tuhuma za kukwepa kodi ya Paundi Milioni 12.9 (Tsh. 32,314,500,000)
Mahakama imemuamuru mwimbaji huyo kutoka Colombia kujibu...
"Watu wanasema Haji anaoa kila siku, ni kheri mimi mwenye wake wengi kuliko vijana wengi wenye michepuko 5 au 6 hadi wanawapangia majumba. Mimi nimechagua kutozini, naoa" - Haji Manara
Uzinzi ni...
Huyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa...
Nilihudhuria live band moja hapa mkoani Dar es Salaam siku si nyingi na kilichotokea kilinisikitisha sana na kuamini kuwa bendi za Tanzania bado sana Kushindana na za Congo DR na Congo...
Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima...
Nimekuwa nikiwaangalia WASANII WENGI wa bongo flavour na WA mambele HASA kwenye MIKONO yao utakuta VIDOLE vitatu VYA mwisho vina Pete.
Pete HIZI huwa zinakuwa na size kubwa ya kutisha lakini kwa...
BONGO FLEVA NI STORY YA SUGU, MIKE NA TAJI
JOSEPH Mbilinyi ‘2 Proud’, kazi yake “Ni Mimi" ndio wimbo wa kwanza wa Swahili Rap kusikika Radio One Stereo mwaka 1994. Vilevile akawa Rapper wa...
Jana usiku wakati nachapa code za JavaScript (hii language siipendi basi tu!!) huku nasikiliza album ya Joyner Lucas -ADHD kuna wimbo mmoja unaitwa 10 Bands uli-popup. Ndani ya ngoma hii...
Huyu mtu hata akiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na mtu/watu, EarPods hatoi.
Na anahakikisha zinaonekana.
EFM jogging nako, akiwa jogging na masela basi kila siku picha apigwe yeye tuuuuuuu...
Hello 👋
Ingependa kujuzwa kwanini Celebrities wengi hasa actors wa hollywood wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri. Tatizo ni nini hasa maana kwa pesa na umaarufu wao wanaweza kupata mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.