Wana JF wale waliokuwepo enzi za wanamuziki hawa. Kama wangepambanishwa nani angekuwa zaidi? Najua kila mmoja alikuwa na kipaji chake tofauti na mwingine na uanamuziki wao ulikuwa tofauti pia...
"Huyu jamaa anachojua saizi ni kusema "and stuff like that" basi 😁 "
Nimekuta caption hii huko twitter, aisee watu wa twitter wamefunguka mambo mengi sana kuhusu Mtangazaji Lil Ommy.
Kiufupi...
Napenda rege na miondoko ya Caribian beat nk. Nakumbuka miaka ya 2007 hawa jamaa walikua 🔥 sana,
Alikuwa Cosmo mwenyewe na Dj alikuwa Bula na jamaa mwingine sikumbuki jina lake. Niliipenda sana...
Steflon Don; ni staa mkubwa wa muziki nchini Uingereza ambaye hivi karibuni amezua sintofahamu baada ya kudai kuwa ex wake ambaye ni staa muziki nchini Nigeria, Burna Boy hana uwezo wa kumridhisha...
Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini.
Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord...
Tunavyoishi tunajifunza na kuona mambo mengi kila siku.
Katika kujifunza kuna mengine tunatamani na kuiga kutoka kwa watu mbalimbali.
Japokuwa hatuwezi kufahamu maisha ya watu kwa undani lakini...
Kuna wakati utawasikia baadhi ya Wasanii wa Bongo fleva wakifikia hatua ya kuwashutumu wale waliojitokeza na kukaa katikati yao na soko.
Wanachosahau Wasanii wengi ni kuwa kuwa na kipaji ni...
1. Youssou N'Dour Youssou N'Dour ni mwanamuziki wa Senegal, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji wa mara kwa mara. Yeye pia ni mfanyabiashara na mwanasiasa, aliyezaliwa Oktoba 1959. Mwanamuziki mkongwe...
Wasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards...
Wadau kwa muda wa miaka mingi nimesikiliza muziki wa RnB, Soul na Pop hasa wa wasanii wa kike ila mpaka sasa sijapata wa kumfikia WH! Huyu katika wasanii hakika alikuwa msanii na sidhani kama...
Mzuka wanajamvi!
Genge la vijana waliokulia udogoni na kiungo wa zamani wa Manchester united na Sasa mchezaji wa Juventus Italia wanadai fadhila ya kulipwa hela na Paul Pogba kwa nguvu.
Marafiki...
Billnass amesema “Mimi wakati mke wangu anajifungua nilikuwepo hospitali na nilimuona process zote ni kitu ambacho kilinitesa sana niliona ni nusu ya kifo, nililia sana kuna muda mwingine unaona...
Msanii Zuchu kutoka Zanzibar amesema anafurahi sana kutimiza moja ya ndoto zake za utotoni kwa kufanikisha kujenga msikiti maeneo ya Paje.
''Msikiti huu utakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo...
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake “Ekwueme” amefariki dunia.
Osinachi alishirikishwa na Prospa Ochimana katika wimbo huo...
Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa
Msemaji...
Mwandishi wa habari maarufu wa magazeti pendwa nchini, kupitia kampuni ya global publishers, Shakoor jongo Kupitia ukurasa wake wa instagram
aliandika;
Tanzia Ndugu zangu, rafiki zangu napenda...
Zifuatazo ni tuzo za vipengele mbalimbali vya muziki wa Hip hop Tanzania.
Naombeni tupige kura baada ya wiki moja tutatoa tuzo.
MSANII BORA WA HIP HOP WA MUDA WOTE
1. Professor jay
2. Afande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.