Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Rommy jons amuandikia barua ya wazi diamond platnumz "Barua ya wazi kwa mdogo wangu Nasibu Abdul ama diamond platnumz Nakumbuka ulivyoanza kutoa nyimbo na wasanii tofauti na wa nchi tofauti...
19 Reactions
124 Replies
15K Views
Hatunywi maji sasa. Hii itatundikwa kila mahali. Hadi kwenye mashairi
18 Reactions
86 Replies
9K Views
Angela White kutoka Australia amevunja rekodi ya AVN , tangu mwaka 1984 tuzo hizi zilipoanzishwa. Amekuwa mtu wa kwanza kushinda tuzo ya AVN kipengele Cha FEMAL PERFOMER OF THE YEAR kwa Mara 3...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Mahakama imeamuru Mjane wa Kobe Bryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola za Marekani Milioni 16 baada ya kuthibitisha kuwa Maafisa wa Polisi na wa Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyota wa muziki Shakira ametangaza kutengana na Gerard Pique ikiwa ni miaka 11 baada ya wawili hao kuwa pamoja na kufanikiwa kupata watoto wawili. Taarifa hizo zilianza kama tetesi ikidaiwa...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Taarifa za huzuni kubwa Msanii mkongwe Nchini Tanzania, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu ametutoka leo Jumamosi Julai 9, 2022 akiwa Magomeni nyumbani kwake. Taarifa za kifo chake...
12 Reactions
62 Replies
7K Views
Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au! Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi...
14 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili...
11 Reactions
65 Replies
9K Views
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Fire Boy- PERU NA REMA_Calm Down. Ipi imetulia zaidi? PERU VS CALM DOWN.
1 Reactions
1 Replies
376 Views
Babu tale kasema Rayvanny Bado ni msanii wa wasafi kwakuwa Bado hajalipa pesa anayostaili kuilipa Kwa wasafi, Ili wamalizane kibiashara, kwahivo inamaana Bado wasafi wanaendelea kula 60%ya kila...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Yaani Picha uliyopiga miaka Mitano iliyopita na Rais Mteule wa Kenya William Ruto ndiyo leo hii baada ya Kuona ametangazwa mshindi ndiyo unaiposti Mitandaoni huku Ukidanganya kuwa ulienda...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked...
26 Reactions
92 Replies
9K Views
KOFFI OLOMIDE ACHAPWA TENA Baada ya kukosekana kwa miaka 11, Koffi Olomide alitarajiwa kutumbuiza katika ukumbi wa Paris La Defense Arena, mojawapo ya kumbi kuu za burudani barani Ulaya, akirejea...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Wcb wasafi ndio lebo namba moja afrika mashariki na kati hivi sasa lakini wasanii wake ni masikini kwa sababu kikubwa katika wanachotengeza kinaishia kwa mameneja na kidogo kwao. Nimewahi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika kurahani na burudani redioni nikiwa nimetune Mawingu Fm Barnaba Classic akiwa anatambulisha Album yake mpya. Albam aliyowashirikisha wasanii wenzake akiwemo Alikiba na Diamond. Adam...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60. Tuhuma...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
Barnaba Classic aka Mopao ama kwa hakika ndio the best vocalist of all time. Hii nchi haijawai kupata fundi wa kucheza na sauti kama Barnaba. Anajua kufungua koo. Kwenye melodies ni noma na nusu...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu Magic Johson (Mcheza Kikapu Mstaafu) mwenye Suti amemshika Kijana wake wa kiume (ambaye ni Shoga) anamtakia birthday wishes. Hii dunia tulipo Mungu kapoteza kiberiti, angeshaiwasha Kabisa.
4 Reactions
78 Replies
11K Views
Akiongea kwenye E-News ya East Africa Yusuph Mlela amesema Bongo Movies wameanza taratibu za kumshitaki jamaa maarufu anaetafsiri movies za nje maarufu kama Dj Mark na wengine wote wanaotafsiri...
13 Reactions
551 Replies
82K Views
Back
Top Bottom