'Baba' wa Diamond Platnumz Abdul Juma Anasema Alisononeka Baada ya Familia Kumkataa:
Abdul Juma amefunguka kuhusu familia yake kumkana. Mnamo 2021, mamake Diamond Platnumz, Sanura, alisema...
Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana...
Siku chache baada ya mazishi ya mwanasiasa mkongwe Augustine lyatonga Mrema mke wake aliyefunga naye ndoa siku za karibuni amefunguka mbele ya wanahabari mambo mbalimbali ilkiwa pamoja na...
Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake.
Kungwi Sexless hajafurahishwa...
Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
Kiukweli DJ Khaled ni kati wa wadau wachache wa mziki wa rap wanaoitendea haki hii tasnia. Kama wewe ni mpenzi wa rap ile style ya miaka ya 90s hadi early 2000s basi utakubaliana na mimi.
Jamaa...
Tunapenda kupeleka shutuma hii kwa waigizaji wa bongo movie hasa episode za ndoa/mahusiano/mapenzi. Waigizaji hawa wamekuwa wakiingiza ubaya, ubabe, ufedhuli, kiburi, umalaya, wizi, utapeli...
Hatimaye jana katika kupenya penya huku na huko katika jiji la dar, nikapata kisa cha ule mwiba kwenye lile tango pori.
Iko hivii yule mkulima aliyepanda matango yake na hatimaye kugeuka matango...
Ameandika Romantic Aloyce.
"Daimond aache kulialia, yeye mwenyewe alisaidiwa ila alipoona amekuwa akaachana na waliomsaodia tena kwa kuwasema vibaya mfano Ruge Mutahaba.
Diamond anasaidia...
Wanaodaiwa kuwa Wapenzi, Mwanamitindo na Mwingizaji, Hamisa Mobetto na Mfanyabiashara Fred "Vunja Bei" wanadaiwa kumwagana.
Ikumbukwe kuwa Mobetto na Vunjabei hawajawahi kutangaza wazi wazi kuwa...
UTANGULIZI
Wengi na vijana hasa wa kike kwa ujumla wanamtazama vanessa mdee kama role model wa maisha yao kutokana na umaarufu wake mkubwa alioupata kupitia muziki na maisha yake kwa ujumla kwa...
Baada ya kusikia jina Vunja bei kwa muda mrefu mitandaoni ikabidi na mimi nigoogle, nikafaikiwa kukutana na podcast moja ya vunja bei.
Jamaa ameongea mambo mengi sana na moja amewataka wateja waje...
Jamani mshahesabiwa huko?
Wandugu Kama mjuavyo penye msiba hapakosi kilio... huyu hapa chini ni mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe kwa uchungu...
Wanazengo wengi wametoa maoni yao kwamba hiki...
Habari wadau.
Nimejaribu kukumbuka hii love triangle ya Lord eyes, Ray c, na mwisho mwampamba, na naona angalau Hawa wawili Ray c na Lord eyes wanaonekana mahali walipo.
Huyu ndugu yetu...
Natoa pongezi kwa msanii namba moja Afrika kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana...
Yes, eminem kuna muda anasifia kwamba kuna marapa weusi flani walikuwa anawasikiliza, wanampa morali, n.k lakini hii haiondoi ukweli kwamba yeye ni mfalme, Messi anaweza kumsifia Maradona alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.