Yes ni kweli nyimbo ya buga ni hakunaga iliyoboreshwa wengi watapinga ila ndo ukweli
Imeboreshwa kwenye kugha vinanda kidogo ila beat na maudhui ni yale yale
Kiufupi nyimbo zetu zinaibiwa sana...
Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa.
Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha...
Wasalaam wana jamvi!
Kama mnavyojua kuwa Alikiba ni mmoja wa wasanii wenye kibri na chuki ambazo zimejificha lakini kama utakuwa una mfatilia mwenendo wake kwenye sanaa utagundua kuwa Alikiba ni...
Angela Simmons ni binti wa Rev Run, Rapper mkongwe wa kundi la Run DMC.
Angela Simmons ndo celebrity wa marekani anayevaa shanga nyingi za kimasai kiunoni kama wanawake wa kiafrika.
Binafsi huwa...
Diamond analalamika watu hawana shukrani wakati huo huo yeye aliwekeza na amepata faida kwa uwekezaji wake, hizo shukrani anazitaka za kazi gani!.
Rayvanny na Harmonize wanalalamika walikuwa...
Nimeona interviews kadhaa za YouTube za kina Mwijaku na vipindi kadhaa vya Wasafi tv.. Mara Sijui S2kkizzy kafuta nyimbo ya Tetema ya Rayvanny youtube eti hajalipwa haki zake kutengeneza nyimbo...
Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo.
Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji...
Ukija kwenye Tasnia ya mziki wa Afrika Mashariki basi kati ya vijana ambao wanaimba ule mziki ambao ni wa viwango vya juu na hawatumii nguvu basi Marioo na Otile Brown wa Kenya hiyo sifa...
Usiku huu Harmonize amemuwekea dhamana msanii mwenzie wa Nigeria aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi la Tanzania.
Harmonize ameweza kumdhamini Kizz Danièl na kuondoka naye kutoka kituo cha...
Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi.
Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member...
Sina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha.
Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo...
"Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo...
CEO wa Next level music ambaye pia ni msanii wa lebo namba moja Africa ya Wasafi, Rayvanny aka Chui amejenga nyumba kisha kuiteketekeza kwa moto ili kupata uhalisia wa video yake mpya ya wimbo wa...
Nimeona video ya kaoneka akilalamika Mandonga kupata pesa licha ya kuwa alimtwanga. Haya ni malalamiko ya kitoto sana kwa Bondia aliyeshinda pambano muhimu kama lile.
Wanamichezo na wasanii wa...
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ...
Kuna siku niliweka thread nikisema Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi cha sasa, wakatokea watu wakanishambulia sana.
Sasa niwaambie movement za sasa za Ray ndio standard tunayopaswa kwenda nayo kama...
Awali nilijua Amon ndiye mume wa upendo Kilahiro ila leo nimesikia Amon Kilahiro amemuoa mke wake Annet.
Naomba kujua iwapo nilijua tofauti au upendo aliachana na Amon?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.