Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wimbo wa msanii wa WCB Wasafi ambaye afanyi vizuri kwa sasa Rayvanny umeondolewa YouTube na producer wa wimbo huo S2kizzy. NB: wasanii watambue muziki ni biashara waache kukosa shukrani pale...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Juni 2022: Alizua hasira nchini Zambia, nusura show yake izuiwe kufuatia dharau kwa waandishi wa habari na kumsukuma shabiki yake mmoja aliyejaribu kumpa Maua wakati akiwasili Uwanja wa Ndege...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Next Door Arena msanii huyo kutoka Nigeria amekamatwa na Polisi. ========= Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa...
6 Reactions
103 Replies
13K Views
Habar za wakati huu ndugu wana-board Tafadhali,husikeni na mada tajwa hapo juu.Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Koffi Olomide a.k.a Papa Fololo,a.k.a Papa na Didi Stone,a.k.a Nicholous Sykoz,a.k.a...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Take it or leave it [emoji41] Kuna muda unatakiwa kuanguka kwanza ndo usimame Bondia Karim Mandonga kala shavu,, Amesaini mkataba wa kuwa BALOZI wa kampuni ya SILENT OCEAN, kampuni ya...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Pole sana bwana Shayo najua utakuwa umepigwa mkwara mzito na maboss wako ukafuta tweet ndani ya dk chache, kwani hukujua jamaa jana hakutokea kwenye show iliyoandaliwa na kampuni yenu na vurugu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Kenya na anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa mwisho wa kampeni wa azimio la umoja wa Raila Odinga. Source:bbc swahili
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hali inazidi kutisha sana katika upande wa bongo movies, kwani hiyo tasnia haiendelei na wala hailipi. Ukija kutafta watu maarufu na wenye hela utakuta ni wa bongo fleva, je huko bongo movies...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ingawa inaseamekana Rayvan ameikacha lebo ya Wasafi lakn kuna mambo walikuwa hawajamalizana kimkataba hivyo hakupaswa kufanya show au kihudhuria tamasha au msiba wowote maana Kila tukio tajwa hapo...
27 Reactions
82 Replies
11K Views
Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram PART 1. Chama changu pendwa, chama bora hakijapata tokea tangu dunia iumbwe. Naomba mnisaidie kwenye hii vita polisi waliyonayo na...
13 Reactions
115 Replies
14K Views
Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm We unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa.
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimeona Marioo anapewa sifa Sana kias cha kufananishwa na Konde Boy pamoja na Alli Kiba na wengine kwenda mbali zaidi kudai kijana anaweza kuwakalisha vibaya mno hao nguli wa mziki. Binafsi mimi...
7 Reactions
63 Replies
12K Views
Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Pauline Zongo alitamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 akiwa na kundi la muziki wa kizazi kipya la East Coast lililowajumisha wasanii mahiri kama King Crazy GK, MwanaFA, AY na wengine wakiwa na vibao...
14 Reactions
108 Replies
23K Views
Wana jamvi wasalaam! Hivi karibuni kulikuwa na taarifa hapa nchini kuwa msanii Diamond amenunua private jet na huku wakisindikizwa na picha wakiwa kwenye ndege hiyo! Wengi walisema ni kiki na...
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Mtu na mama yake ndo upumbavu wao ulipoishia hapa, mxieew reality show kwa maisha yapi waliokua nayo ? Kwa pesa Zipi? , yani kipi cha ajabu sana ambacho wanacho wakafanya mamillion ya watu waache...
13 Reactions
110 Replies
12K Views
Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Star wa muziki kutoka Tandale haishiwi surprises, kutoka Tandale mpaka kumiliki ndinga za maana kama Rolls royce, escalede mbili na gari yake yenye hadhi ya chini ikiwa ni v8 hizi za mawaziri na...
10 Reactions
44 Replies
8K Views
King Kiba atazidi kuwa juu na kuendelea kutawala muziki wa afrika kama the late franco makiadi! Sio yule mnyonyaji wa usafini ambaye kutwa kucha wasanii wanamkimbia kwa unyonyaji uliopitiliza...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom